Atumbukia shimoni na kupoteza maisha baada ya Kutangazwa Kashinda

Bwana anahusikaje kwenye uzembe kama huu! Hivi eneo kama hilo litaachwaje wazi bila kufunikwa halafu yakitokea maafa tuseme Bwana ametwaaa! This is sickening!
huu ni uzembe mkubwa sana,shimo lipo usawa wa ardhi heri hata ingekuwa na kuta refu,sijui hiyo mitaa watoto wanaishije,hapo mtoto hata akitambaa anatumbukia kirahisi,huu ni uzembe mkubwa sana na inasikitisha kazi ya lisaa moja kufunika shimo au kuweka uzio imeshindikana
 
kafa kishujaa uku kijiti cha ushindi akiwa kakishikilia naami yupo kamanda mwingine atakipokea hicho kijiti RIP marehemu
 
Aliyekuwa Mgombea ujumbe CHADEMA baada yakutangaziwa kuwa ameshinda akawa anaelekea uani karibu na choo kulikuwa na shimo la choo ndipo alipodumbukia na mauti kumpata. Ndani ya shimo pia palikuwemo na maji. Tukio hili limetokea Katika Kituo cha Msalala Road,Geita. Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina la Bwana libarikiwe. Amen
attachment.php

Picha hii inaonyesha shimo alilotumbukia marehemu Bethar Nchimani Ngosha.


Hii ni sawa na diwani wa Mwanza mjini MCHONGA BUSH badala ya kufurahia akaanza kulia yeye na mkewe.

MUACHE ATAMBIKIE CHAMA.
 
Tuko vizuri kusema Bwana ametwaa! Anatwaa kwenye nchi maskini na zilizojaa wajinga tu! Mbona hatwai nchi za ulaya kama anavyotwaa nchi za Africa??! Does it mean he is not fair? We have to change the way we think and our actions will automatically change! Ujinga ni maafa!



huu ni uzembe mkubwa sana,shimo lipo usawa wa ardhi heri hata ingekuwa na kuta refu,sijui hiyo mitaa watoto wanaishije,hapo mtoto hata akitambaa anatumbukia kirahisi,huu ni uzembe mkubwa sana na inasikitisha kazi ya lisaa moja kufunika shimo au kuweka uzio imeshindikana
 
Mungu amlaze mahala pema peponi amin tupo nyuma yake ila mapambano bado ni kumalizia alipo ishia hakika tutashinda tume anza na mungu tuna maliza na mungu
 
Back
Top Bottom