Polisi ben
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 303
- 83
- Thread starter
-
- #121
mmmmmmmmmh!We atakufaa huyu.
View attachment 87935
koh koh koh
Umekunywa dawa ya kikoho
yeah..ila ata sioni kikipungua
ni zaid ya Limbwata
Mmmmh umempata basi manoa akisikia hivyo nywele zinasisimka bichwa linaviimba, mwambie nataka kuongea nae anikute Mabwepande yaani msitu wa pande, pale kati pale

uko simruhusu aje hivhiv,nitaandaa eskoti yenye silaha zote asee..sifa ya Mabwepande nan asoijua
Unanipenda sana mpenzi wangu!

umeonaje?