Naomba kuuliza, hivi vijana wote tusio na ajira na serikali inatuangalia kwa furaha tu mwaonaje tutafute njia mbadala ya kuieleza jamii kuwa tuna shida?Nayaandika haya kwa sababu tupo hatarini kuangamia maana inafika mda unakuta huna kazi ya kufanya hivyo unakuta unaingia katika vishawishi vya ngono na hatma yake inafahamika tu, maana tupo loose sana.
Ushauri:
Tuandamane maandamano ya amani kuonesha hisia zetu kwa serikali ya ccm na jamii kwa ujumla. Najua wengine mtakuja na kujiajili, Ni kwamba hatuna initial capital na Financial Institutions zenyewe masharti kwa vijana kama siye ni vigumu kukidhi.
mie sidhani ka kuandamana itakuwa solution, we ka kijana watakiwa ujitambue na ujue what you want, mfano mie after graduation niliondoka dsm ingawa ni ka home huko kwani tuna kibanda huko, nikaenda kaskazini, nikaanza kutafuta makampuni yanayodil na fani niliyosomea,nikawapa cv na kuwaeleza kuwa nina sifa na nataka kazi, nikawapa conditions kuwa wanipe 3 months trial bila salary ila wanipe allowance ya meals na transport then wakiridhika na utendaji wangu watanihire na nikiwadissapoint wanitpotezee, wakakubali coz hata performanc yangu skul ilikuwa mwake, then after a month wakaniajiri.so wewe ka kijana u have to know what you want and how to get it,tupambane kibishi tu pamoja na kuwa smart kwenye area yako ya expertise.ni kweli vijana wengi hawana ajira wala means za kujiajiri na inaumiza wengi but kuandamana hakuwezi izindua hii serikali inafanya mabo kwa kuzima moto tu..............

saizi wanakataa kupokea hata hizo cv ndugu, yani magizo yote anayo mlinzi sijui hayo maelezo utampa nani kuwa ujitolee miezi mi3
Kwa sasa jinsia si ishu dhamira na uamuzi ndo ishu..kama huamini kaa chini na utfakari upya.jinsia yako inakuponza..mwenzio mwezi mmoja kaajiriwa unafanya mchezo nini!
mie sidhani ka kuandamana itakuwa solution, we ka kijana watakiwa ujitambue na ujue what you want, mfano mie after graduation niliondoka dsm ingawa ni ka home huko kwani tuna kibanda huko, nikaenda kaskazini, nikaanza kutafuta makampuni yanayodil na fani niliyosomea,nikawapa cv na kuwaeleza kuwa nina sifa na nataka kazi, nikawapa conditions kuwa wanipe 3 months trial bila salary ila wanipe allowance ya meals na transport then wakiridhika na utendaji wangu watanihire na nikiwadissapoint wanitpotezee, wakakubali coz hata performanc yangu skul ilikuwa mwake, then after a month wakaniajiri.so wewe ka kijana u have to know what you want and how to get it,tupambane kibishi tu pamoja na kuwa smart kwenye area yako ya expertise.ni kweli vijana wengi hawana ajira wala means za kujiajiri na inaumiza wengi but kuandamana hakuwezi izindua hii serikali inafanya mabo kwa kuzima moto tu..............
mie sidhani ka kuandamana itakuwa solution, we ka kijana watakiwa ujitambue na ujue what you want, mfano mie after graduation niliondoka dsm ingawa ni ka home huko kwani tuna kibanda huko, nikaenda kaskazini, nikaanza kutafuta makampuni yanayodil na fani niliyosomea,nikawapa cv na kuwaeleza kuwa nina sifa na nataka kazi, nikawapa conditions kuwa wanipe 3 months trial bila salary ila wanipe allowance ya meals na transport then wakiridhika na utendaji wangu watanihire na nikiwadissapoint wanitpotezee, wakakubali coz hata performanc yangu skul ilikuwa mwake, then after a month wakaniajiri.so wewe ka kijana u have to know what you want and how to get it,tupambane kibishi tu pamoja na kuwa smart kwenye area yako ya expertise.ni kweli vijana wengi hawana ajira wala means za kujiajiri na inaumiza wengi but kuandamana hakuwezi izindua hii serikali inafanya mabo kwa kuzima moto tu..............
wewe na mawazo ya aliyeshibamie sidhani ka kuandamana itakuwa solution, we ka kijana watakiwa ujitambue na ujue what you want, mfano mie after graduation niliondoka dsm ingawa ni ka home huko kwani tuna kibanda huko, nikaenda kaskazini, nikaanza kutafuta makampuni yanayodil na fani niliyosomea,nikawapa cv na kuwaeleza kuwa nina sifa na nataka kazi, nikawapa conditions kuwa wanipe 3 months trial bila salary ila wanipe allowance ya meals na transport then wakiridhika na utendaji wangu watanihire na nikiwadissapoint wanitpotezee, wakakubali coz hata performanc yangu skul ilikuwa mwake, then after a month wakaniajiri.so wewe ka kijana u have to know what you want and how to get it,tupambane kibishi tu pamoja na kuwa smart kwenye area yako ya expertise.ni kweli vijana wengi hawana ajira wala means za kujiajiri na inaumiza wengi but kuandamana hakuwezi izindua hii serikali inafanya mabo kwa kuzima moto tu..............
na wewe kama una cha kuandika gonga kwenye like..huna haja ya kutumia nguvu nyingiumewapa ushauri safi sana ciello
na wewe kama una cha kuandika gonga kwenye like..huna haja ya kutumia nguvu nyingi
ndio ni ushauri mzuri lakini hiyo ni sawa na mapenzi kwenye movies yanavyokua matamu but not in real life.chukua ule ushauri wa ciello
naamin utakusaidia sana ndugu yangu