Atolewa ndizi na kondomu ukeni

Mtanzania2020

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2020
Posts
1,026
Reaction score
2,295
Mwanamke mmoja nchini Kenya ambaye amehifadhiwa jina lake, alijikuta katika wakati mgumu sana uliopelekea Afya yake kuzorota mpaka kukaribia kufa.😳😳

Ni baada ya kujiingizia ndizi ukeni ambayo ilizama moja kwa moja na kushindwa kuitoa.😳🀯

Baada ya hapo, alianza kusikia maumivu makali huku ndizi ikianza kuoza taratibu .😳

Mwanzo aliona aibu, kwenda hospitali lakini mwishowe alikubali ndipo walipomtoa ndizi hii ambayo ilikuwa imevishwa condomπŸ˜’



SWALI NINI KINAPELEKEA MAAMUZI KAMA HAYA KWA MABINTI WENGI?
 
Daah! Njemba zote zile zilizoko mtaani hajaziona hadi kaenda kuchukua ndizi. Au wanaume wa Kenya hawamridhishi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…