ATM nyingi nchini hazifai - Waziri

Wizi wa kwenye ATM utaendelea kuwepo so long as Tanzania imefungua milango yake kwa kila mtu kujiingilia tu nchini mwetu.

Matokeo yake ndio hayo na wezi wote wa kimataifa ambao wengi wao wana utaalam wa hali ya juu wa "computers" na "programming na wanatoka katika Ulaya yote ya Mashariki (ndio wengi) na Magharibi, sasa wamehamia Afrika.

Na kwa kuwa vyombo vya fwedha vya Ulaya navyo vimechukua hatua kukabiliana na wizi kama huo na kubana njia zote zinazohusu wizi wa ATMs na ule wa hundi, kwenye mtandao (cyber crime) wizi huo unahamia kwenye nchi ambazo bado ni changa kwenye mambo ya "technologies".

Wizi wote wa fwedha za wananchi utakuwepo kuanzia na ATMs na utaendela kwenye Online Accounts. Juhudi za pamoja za serikali na vyombo vya fwedha zinahitajika ili serikali iweze kutengeneza "legislations" zitakazowalinda wateja na watoa huduma.

Maelezo ya waziri yanaonekana ni ya mtu asie na "vision" na atakazana kulaumu kwamba mashine hizo ni mbovu, je anao ushahidi kwamba amshine hizo zinaingizwa zikiwa mbovu nchini mwetu?
 
Wahusika wote ni wa kulaumiwa,
1. Walioendesha hiyo tenda na kumpa mtu asiye na uwezo (kwa Tanzania tunajua ni kwasababu ya mlo)
2. Waliokagua zilipokuja na kusema ni sahihi(Mlo pia)
3. Benki zenyewe, kwani wao wanafanya biashara na hakuna mfanyabiashara anayepokea mali bila kuikagua, kwasababu service yako unayotoa kwa mteja inabidi iwe juu kama kweli wewe ni mfanyabiashara. So nao ni wa kulaumiwa coz walipaswa kukagua na walikuwa na haki ya kukataa kama hazi-meet requirements zao (mlo pia)

Tanzania inaangushwa na watanzania wenyewe kwa mikono yao, wengi wameweka matumbo mbele. Though ninapinga Nyerere kuitwa mtakatifu kwasababu ya misingi yangu ya dini ila ninatambua mchango wake katika serikali that is tungebarikiwa kupata viongozi 20 tu kama Nyerere tungefika somewhere
 
Mi ndio maana fweza zangu nazisunda chini ya pillow, nikijisikia kupiga ulabu au kusarandia mechi za mchangani najisevia kilaini. Hamna service charge wala nini. Mtakoma na mabenki yenu uchwara.
teh teh kiongozi upo juu sana
 
Back
Top Bottom