ATM and Inteconnect switching technology

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
I am doing a research on the interconnect switching technology applicable to financial institutions similar to The Umoja Switch Project where by;
  1. business transactions from various banks/financial institutions are centralised to give a unified view of customers, accounts, transactions, and activity across various payments channels via a web browser
  2. banks/financial institutions are interconnected to each other by a switching technology such as Postilion or S1 Enterprise
My focus is implementation, systems compatibility from different financial institutions, capacity and utilizations, their limitations and recommendations in our existing systems.

Nategemea mchango wenu hasa kwa wadau mliopo kwenye MABENKI YALIYOMO UMOJA SWITCH.

ASANTENI
 
Naweza kukusaidia na :

i) Michoro (logical topology) ya network yao
ii)Mobile Banking Data Flow Diagrams

Ili uweze kuelewa jinsi transactions zinavyofanywa na jinsi ATMs , POS , Mobiles (for mobile banking) and the different financial institutions - (you mentioned above) zinavyoonganishwa na mtandao wa Umoja Switch.

Nilipata hizi diagram mbili kwenye presentation fulani waliyowahi kuitoa (sio Bongo). Niki ipata kwenye makarabasha yangu nitakutumia.

-Sijui kwa nini hawana tovuti.
icon5.gif

Kwani mkuu unafahamu ofisi za hawa majamaa ?

B.P
 
Attachments

  • switching network.jpg
    switching network.jpg
    64.7 KB · Views: 256
  • mobile banking transactional data flow.jpg
    mobile banking transactional data flow.jpg
    58.1 KB · Views: 147
Na-assume unazungumzia card orginated transaction messages, kwa sababu umemention ATM, na Umoja Switch nadhani ndio purpose yake kubwa.

Find out kuhusu ISO 8583 ( [ame=http://en.wikipedia.org/wiki/ISO_8583]ISO 8583 - Wikipedia, the free encyclopedia[/ame] ) . A very simple protocol ambayo inatumika kwenye transaction nyingi za ATM duniani.

Kama wewe ndio unaimplement system yako, ukitumia hiyo unauhakika utaweza kuwasiliana na at least Visa na Mastercard networks. Postilion, kwa mfano, suports/can use ISO 8583 messaging.
 
Wadau mbona mpo kimya mada kama hizi ndio za kuchangia, ila nimegundua mada sizizo na tija kila mtu anachangia kwa mfano ile ya eti YoYo Mmbea...
 
Wadau mbona mpo kimya mada kama hizi ndio za kuchangia, ila nimegundua mada sizizo na tija kila mtu anachangia kwa mfano ile ya eti YoYo Mmbea...

Bwana Mfunyukuzi, wadau wanapenda sana kuchangia lakini inategemea mada yenyewe kawa wanaielewa!! Mfano ni comment ya August_Sahao hapo juu! Mambo ya umbea ni rahisi kwani kila mtu ayajua, hayahitaji shule!!
 
Ni tpology nzuri sana maan hata security yake iko poaa na end months reports iko straight forward....bcx nawapa hongera sana kupunguza mlundikano wa atm mjini ingawa zipo chache sasa msongaman...sometimes .....................ila tpology imetulia
 
Naweza kukusaidia na :

i) Michoro (logical topology) ya network yao
ii)Mobile Banking Data Flow Diagrams

Ili uweze kuelewa jinsi transactions zinavyofanywa na jinsi ATMs , POS , Mobiles (for mobile banking) and the different financial institutions - (you mentioned above) zinavyoonganishwa na mtandao wa Umoja Switch.

Nilipata hizi diagram mbili kwenye presentation fulani waliyowahi kuitoa (sio Bongo). Niki ipata kwenye makarabasha yangu nitakutumia.

-Sijui kwa nini hawana tovuti.
icon5.gif

Kwani mkuu unafahamu ofisi za hawa majamaa ?

B.P

2nd floor, Letisya Towers kijitonyama, Opposite Oilcom,

I am doing a research on the interconnect switching technology applicable to financial institutions similar to The Umoja Switch Project where by;
  1. business transactions from various banks/financial institutions are centralised to give a unified view of customers, accounts, transactions, and activity across various payments channels via a web browser
  2. banks/financial institutions are interconnected to each other by a switching technology such as Postilion or S1 Enterprise
My focus is implementation, systems compatibility from different financial institutions, capacity and utilizations, their limitations and recommendations in our existing systems.

Nategemea mchango wenu hasa kwa wadau mliopo kwenye MABENKI YALIYOMO UMOJA SWITCH.

ASANTENI
Kama upo Dar ni PM ntakukutanisha na mtu wangu ambaye atakupa majibu na data za haya maswala yote.Ntakuwepo Dar kuanzia jumatatu ijayo nipo Ukerewe wiki hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom