Atlas Primary School - Madale, Dar

Na kuna shule nzuri tu maeneo ya kijichi kule
Yaani utoe mtoto mdogo Ubungo kumpeleka Madale, hiyo shule wanapandikiza ubongo mpya kuliko aliozaliwa nao? Wakati mwingine sisi wazazi tunahangaika na upuuzi!
 
Hii shule nilimpeleka mwanangu asubuhi nikamuhamisha jioni! Kwa masaa machache ambayo mwanangu alikaa pale nilinyoosha mikono! Watoto ni wengi balaaa! Pole sana!
 
Wizara ya walala hoi na usafiri wa watoto shule binafsi.. Hao watoto wanaonyanyasika kwenye madaladala haijui nini cha kufanya, usishangae ukiambiwa una uwezo wapeleke na kuwachukua mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…