wadau wa matkenolojia naombeni msaada wenu waina yte nimekwana nina dish na kimamuzi cha strong sasa kuna channel tatu tu zinashika nazo ni atlantic,sport na news basi zingine zte hman kitu mbaya zaidi hata hizi za atlantic hazionyeshi image zinasema scrambled channel sasa nimekwama hata za local kama ITV na TBC hola naombeni utaalamu kidogo jamani kwa hili:shetani:
hata hzo za atlantic, sports na news ni c band mm hapa maskan znadaka tangu mwaka 2008 na huwa cjui nizifanyaje... Na signal yake ni kubwa sana ikipungua ina kua 85 percent lakn kawaida ni 90 mpaka 93... But SCRAMBLED 😀OH:
hata hzo za atlantic, sports na news ni c band mm hapa maskan znadaka tangu mwaka 2008 na huwa cjui nizifanyaje... Na signal yake ni kubwa sana ikipungua ina kua 85 percent lakn kawaida ni 90 mpaka 93... But SCRAMBLED :doh: