TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Nilipokuwa Azania Miaka ya 1990, Masomo yalisimamishwa Tukapelekwa Jangwani ili watu wakuwe wengi kwenye Mkutano wa Al Hassan Mwinyi. Sasa alipoanza Kuhutubia na yule mzee alikuwa anapiga hotuba ya masaa 3. Alipenda utani na Ucheshi, Wakati fulani akasema, "Ati kuna watu wanasema mie shemeji yenu, "mimi shemeji yenu"? Wanafunzi "Ndioooo" Baada ya muda tukaona anatuzingua, sasa tulipotaka Kuondoka Polisi wakawa wanatukatishia kwa Farasi kutuzuia.
Sasa ati Nimesoma Gazeti la Nipashe Kuwa Polisi walifunga Geti Uwanja wa Taifa ili wafanyakazi wakae kumsikiliza makonda, Na makonda naye akawabeza kuwa hata kazini wanatoroka wow! hili linatokea 2016, kulazimisha watu wazima wasikilize hotuba za mtu? makonda!
Wafanyakazi Dar watoka uwanjani Makonda akihutubia | Latest News, Sports, Business, Entertainment, Features, Columnist | IPPMEDIA