Ati wanaume watanashati kupindukia ni wazinzi?

ngojea usifiwe kijana,mwizi ajiiti mwizi

Join DateMon Jan 2011 na Tue Oct 2009Posts17 na 532Kweli wewe kiboko. Umejiunga jana na kuanza kuwaparua kaka zako? Huku kijana ni yule aliyejiunga karibuni na aliyechangia mara chache.
 
Niliwasikia baadhi ya kina mama wakiteta kuwa ukiona mwanaume anaulamba kila wakati na anajipiga vitu vya bei mbaya, basi ujue ni mkware sana. Of course, tetesi hii ikanifanya nikumbuke 'Hillsiders' (like Law Masha, Cresentius Magori, at el) wa UDSM enzi hizo walivyokuwa watanashati na walivyowatafuna 'Hillsisters'. Hata hivyo nikabaki na shaka juu ya tetesi hii, na ndiyo maana nalileta jamvini tulijadili.

Wana JF wanaume watanashati kupindukia mnasemaje?
Wana JF wanawake mlio na boyfriends/waume watanashati kupindukia mnasemaji?

Uzinzi si sana kwani wengi hua 50 50 halafu ni wabinafsi, wachoyo, huoa katika umri mkubwa sana, huwa si outgoing wanapenda kua home home, hawawezi kuishi na mtu, hata akioa mke hainjoy kwani jamaa hashauriki na anamisimamo yake isobadilishwa na mtu, si wakarim sana wako serious masaa yote. Wengi wao wamesomaaa wakorofii wa bahilii yani wanaume watanashati wengi lazima wawe na tabia zinazofanana na hizi.
 
Mh!mtanashati ndo smart ee?.mi napenda kuona guys wakiwa smart,.with this,kwahyo watu wawe rough au?.tabia ni m2 sio vitu.
 
Mh over utanashata kunakuwaga na ???? Na mibwabwa ilivyo mingi cku hz
 
cha kwanza tujiulize sisi warembo kama tunavutiwa na wanaume wachafu or wasio watanashati.jibu ni hapana huwa tunafurahia kutoka na wanaume ambao wako presentable.
ni kweli wanaume wengi watanashati ni wakware lakini sio kwa kupenda bali wanawake ndio husababisha hili.akiuchuna na kuwa na mmoja basi anaringa,akiamua kuwa mkarimu basi mkware!lakini pamoja na yote huwa wanajibidisha hawa katika ile kazi ndo maana wanawake wanawapapatikia.
lakini tukumbuke hata mabwabwa wako kwenye kundi hili la utanashati.
mwanaume asifiwi kwa mvuto lakini utanashati muhimu ati....!
 
Uzinzi si sana kwani wengi hua 50 50 halafu ni wabinafsi, wachoyo, huoa katika umri mkubwa sana, huwa si outgoing wanapenda kua home home, hawawezi kuishi na mtu, hata akioa mke hainjoy kwani jamaa hashauriki na anamisimamo yake isobadilishwa na mtu, si wakarim sana wako serious masaa yote. Wengi wao wamesomaaa wakorofii wa bahilii yani wanaume watanashati wengi lazima wawe na tabia zinazofanana na hizi.

Hii ya kwako kali!

Utanashati siyo lazima mtu awe handsome lakini anajipenda kwa kuwa maridadi na wa kupendeza kila wakati. Sasa hapo kuna kosa gani, au mwanamme lazima awe mchafu ndiyo anakuwa dume la mbegu?

Dunia inakwenda mbele sisi tutawachwa nyuma bado tunataka wanaume waishi kama enzi ya porini.
 
FLady...

Hii signature yako nimeipenda sana !.........NEVER TRUST A MAN EVEN A DEAD ONE........! Rule mojawapo ya engagement inasema never trust a person who doesnt trust you, in that scenario namuonea huruma any man anyekuamini
 
Tatizo sio wao wasichana huwa ndo wanaojigonga kwao na ujuavyo ukibipiwa lazima upige lbd iwe siyo number yenyewe
 
FLady...

Hii signature yako nimeipenda sana !.........NEVER TRUST A MAN EVEN A DEAD ONE........! Rule mojawapo ya engagement inasema never trust a person who doesnt trust you, in that scenario namuonea huruma any man anyekuamini

FL1 jamani .... shemeji yetu sijui ameshamtenda?? ningemshauri dada yetu akapate ushauri wa Nyamayao na WoS!!
 
Mh!mtanashati ndo smart ee?.mi napenda kuona guys wakiwa (OVERLY) smart with this,kwahyo watu wawe rough au?.tabia ni m2 sio vitu.

Tunasema wakiwa na "usmart" unaoelekea ule wa kina mama (overly smart). Sidhani kama wewe utapenda mwanamme anayebadilisha housing za simu ili simu irandane na shati au suruali aliyovaa siku hiyo. We call it overly smart. Smartness is not bad at all.
 
Mh over utanashata kunakuwaga na ???? Na mibwabwa ilivyo mingi cku hz

Dume linamechisha viatu, shati, suruali, simu, keyholder n.k. Perfume za bei mbaya, handkerchief zaidi ya moja kwa siku, kufuga kucha za vidole, kuondoa mvi kichwani, saluni kila siku ili kumaintain O, n.k
 
sasa kama mtanashati halafu bwabwa? the point is mwanaume ni yuleyule tu kama mzinzi ni mzinzi tu! mbona kuna wengine kama madereva daladala na makonda full rough lakini wanakamua mabinti na balaa
 
Hakuna uhusiano. Ina maana mapadri watanashati ni wakware?

Kama ni overly smart inawezekana. Padri ni binadamu kama mwanamme mwingine yeyote.

Sifa:Dume linamechisha viatu, shati, suruali, simu, keyholder n.k. Perfume za bei mbaya, handkerchief zaidi ya moja kwa siku, kufuga kucha za vidole, kuondoa mvi kichwani, saluni kila siku ili kumaintain O, n.k
 
Tunasema wakiwa na "usmart" unaoelekea ule wa kina mama (overly smart). Sidhani kama wewe utapenda mwanamme anayebadilisha housing za simu ili simu irandane na shati au suruali aliyovaa siku hiyo. We call it overly smart. Smartness is not bad at all.
ahaha!thank you..sijawahi kuona m2 wa hvo.
 
Niliwasikia baadhi ya kina mama wakiteta kuwa ukiona mwanaume anaulamba kila wakati na anajipiga vitu vya bei mbaya, basi ujue ni mkware sana. Of course, tetesi hii ikanifanya nikumbuke 'Hillsiders' (like Law Masha, Cresentius Magori, at el) wa UDSM enzi hizo walivyokuwa watanashati na walivyowatafuna 'Hillsisters'. Hata hivyo nikabaki na shaka juu ya tetesi hii, na ndiyo maana nalileta jamvini tulijadili.

Wana JF wanaume watanashati kupindukia mnasemaje?

Wana JF wanawake mlio na boyfriends/waume watanashati kupindukia mnasemaji?

Tuko pamoja Mkuu;

Ila baadhi ya Hillsiders baada ya kuja kwenye system ni wachovu sana. nadhani ilikuwa pesa ya "Boom", si unakumbuka "Allowances" zile wakati huo ilikuwa si mikopo.

Nimewaona pia baadhi ya Hill Sisters nao wamechoka. wachache kam kina Prem Kibanga bado mambo yamekubali.

Kuna weza kuwa kuna ukweli, of course hakuna mdada asiyependa mwanaume mtanashati. lakini hii siyo rule.
 
Kumbe wewe ulisoma kipindi chetu? Wapo kweli waliochoka. Unakumbuka 'yaniue'? (Yaani mtu unakula beans ('yaniue') mpaka basi ili usevu? Abortion valley unaikumbuka?
 
Niliwasikia baadhi ya kina mama wakiteta kuwa ukiona mwanaume anaulamba kila wakati na anajipiga vitu vya bei mbaya, basi ujue ni mkware sana. Of course, tetesi hii ikanifanya nikumbuke 'Hillsiders' (like Law Masha, Cresentius Magori, at el) wa UDSM enzi hizo walivyokuwa watanashati na walivyowatafuna 'Hillsisters'. Hata hivyo nikabaki na shaka juu ya tetesi hii, na ndiyo maana nalileta jamvini tulijadili.

Wana JF wanaume watanashati kupindukia mnasemaje?
Wana JF wanawake mlio na boyfriends/waume watanashati kupindukia mnasemaji?
Kwa dunia ya leo ...hilo si ishu...!!!!mchina ashamwaga pamba kila pembe ya mji...!!!
 
Back
Top Bottom