Ati umesoma shule ipi........???

Ahhhhhhhhhh, hii itakua walisoma kina Nape, Mwigulu, Kigwa, Kikwe, Ridh, Wasira, Nchimbi, Mwema, Kamuhanda, ongeza.............
 
Ahhhhhhhhhh, hii itakua walisoma kina Nape, Mwigulu, Kigwa, Kikwe, Ridh, Wasira, Nchimbi, Mwema, Kamuhanda, ongeza.............

....Shigella,Kigwangala,Makinda,Id Azan,Salma Kikwe,Le Mutuz,Kova,
ongeza.......
 
singida hapo hii shule inaitwa chief senge sekondari ni jina la mtawala wa jadi wa zamani singida aliyekuwa anaitwa chief senge
 
walimu na wanafunzi wa senge ni wakarimu sana
 
aaahhaaahahhaaahaaaa... Asee hawa jamaa wamenichekesha
 
wanafunzi wa senge wengi ni wanyatulu ambao ndio wakazi wa huko.
 
jk ni mmoja wa wanafunz wa senge.....lol
 

na hhiiiiiiiiiiiiiii jeeeeeeeeeeeeeeeee?
 
Mkimaliza mtaniamsha, napumzika kidogo baada ya kuchoshwa na uzi huu
 
Hata shule aliyosoma Mwl. Nyerere inaitwa Mwisenge, ni majina tuu, wadau!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…