ATI NINIIII!!!!

ANDREW JOSEPH

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2017
Posts
421
Reaction score
405
Mwaka mzima kijijini watu wako bize kulisha majani mbuzi na ng'ombe wewe huku mjini mwaka mzima uko bize kulisha mademu chips soda na baga halafu unakuja kwenye sikukukuu ya mwaka mpya unataka kuchinja mbuzi kaka acha utani kila mtu achinje alicholisha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahaha muwe mnawaambie waje na mbuzi zao
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] apo tutakwenda sawa
 
Vyuma vilegezwe si kwa roho mbaya hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…