Ati hii ni simu au ni pepo?

Eti inaona inasikiliza inajua inashiriki inakaa macho 'unapofanya' inahusika na maneno yako na kuwafuatilia wapendwa wako....kweli mchina ni noma
 
Nilichowahi ona ni kuna chip ilifanyiwa majaribio na Watu wa Iphone, inakuwa planted katika mwili wako then unaweza fanya mengi bila kugusa simu
 
ngoja nitafute mwiko nipakue ubongo wangu
 
kiongozi kwa mara ya kwanza tangu uzaliwe umeniuzia mbuzi kwenye gunia...unaweza post mechanism ya kufungua ndani ya box ili tujue kama yaliyomo yamo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…