Zamani celica iliitwa "toyota celica supra" wakaja kutenganishaNakuomba uifatilie vizuri SUPRA... alaf urudi urekebishe comment yako
INSHAALLAH... usijali mungu yupoHee nimesahau kusema "amen" kwa uliyotamka...ee mwenyezi Mungu napokea kwa imani kutoka kwako naomba nikabarikiwe,.
Ahsante braza-kakaMungu akubariki naww!!!!
TDI hizo for pori huko.. ndio mahali pakeMbona hamuitaji land rover 109 zenyewe naonaga zinakimbia mpaka zinambeba wa nyuma yake ili zisimuache mbali.
kwa caldina pia ipo kina rav4 corona nkmzee 3s fe naijua ni kwenye noah na rav 4 masawe
3s ge naijua ni alteza tu kama kuna gari ingine ni modification tu
3s gte ni celica supra na baadhi ya caldina mzee
halafu alteza nimemiliki ya 1g fe na ya 3sge kwaio nafahamu sana hizi mashine
3sge dual vvti beams
(It made 210 PS (154 kW; 207 hp) at 7,600 rpm)
Hehehe nimecheka kimyakimya sasa tulio Na Mercedes Benz S class convertible speed 320 MPH sio KPH utasemaje? Tangu nirudi Tanzania sijawahi kumaliza sana sana naishia 260mph . kuna siku nilikuwa nakwenda mwanza Na ilikuwa j2 sasa hizi vx Na gx za serikali nilizitesa!! Hako ka crown ulikokaona kanawatisha akina vits
Ndio bila shidaUliwezaje kupiga huku unaendesha kwa speed hiyo?
Waache wanaojua Magari Mkuu waje au nikuwekee picha?asee mzee hiyo kamba naruka !! naaamini na wana JF watairuka we gari gani iliokl bongo inagonga spid hizo hivi unajua hata koenisegg agera haifiki 300mph sa ww ukifikaje 260mph sawa na 418kph road ipi na gari ipi hamna s clacc inagonga hapo
mkuu hio kwenye rav 4 na corona ni 3s fe sio 3s gekwa caldina pia ipo kina rav4 corona nk
Tena nimesema sijawahi kumaliza speed! Kama Barbara imenyoooka unakamua ila sio muda mrefuWaache wanaojua Magari Mkuu waje au nikuwekee picha?
Acha kutudanganya mkuu, 320mph hiyo ni bugatti chiron au?Hehehe nimecheka kimyakimya sasa tulio Na Mercedes Benz S class convertible speed 320 MPH sio KPH utasemaje? Tangu nirudi Tanzania sijawahi kumaliza sana sana naishia 260mph . kuna siku nilikuwa nakwenda mwanza Na ilikuwa j2 sasa hizi vx Na gx za serikali nilizitesa!! Hako ka crown ulikokaona kanawatisha akina vits
Utanunuaje Mercedes Benz S Class convertible ?Hehehe nimecheka kimyakimya sasa tulio Na Mercedes Benz S class convertible speed 320 MPH sio KPH utasemaje? Tangu nirudi Tanzania sijawahi kumaliza sana sana naishia 260mph . kuna siku nilikuwa nakwenda mwanza Na ilikuwa j2 sasa hizi vx Na gx za serikali nilizitesa!! Hako ka crown ulikokaona kanawatisha akina vits
angalia vizuri ...kwanza unajua 3S ziko matoleo mangap ??mkuu hio kwenye rav 4 na corona ni 3s fe sio 3s ge
hamna gari ambayo ni stock inayogonga 300mph ila mkuu anayo jaman JF kuna mambo afu anakwambia ni convertibleAcha kutudanganya mkuu, 320mph hiyo ni bugatti chiron au?
Anasahau kwamba hiyo 300 anayoiona ni kph na sio mphhamna gari ambayo ni stock inayogonga 300mph ila mkuu anayo jaman JF kuna mambo afu anakwambia ni convertible
Sio speed ya barabara Bali speed ya gari. Na nimesema sijawahimaliza. Nafikiri hapo tuko sawaUtanunuaje Mercedes Benz S Class convertible ?
Bila shaka wewe ni msukuma samahani lakini .
320MPH au KPH ? 260MPH ni barabara ipi ya Tanzania unatembea hiyo speed ?
Mimi sio msukuma Bali niliishi ujerumani Na UK ndio sababu nilinunua huko hill gariUtanunuaje Mercedes Benz S Class convertible ?
Bila shaka wewe ni msukuma samahani lakini .
320MPH au KPH ? 260MPH ni barabara ipi ya Tanzania unatembea hiyo speed ?