Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

Acha kutudanganya mkuu, 320mph hiyo ni bugatti chiron au?
Mkuu BUgatti the fastest inakamua mpaka 520 MPH. Hiyo kitu ingine. Shida sisi huku tumezoea kununua old cars! Na zaidi sana za Japan ambazo ni KPH 180 sanasana itakuwa Na 240. Tembeleeni hats mitandao jamani muone Magari!!
 
Mimi sio msukuma Bali niliishi ujerumani Na UK ndio sababu nilinunua huko hill gari
Sawa Mkuu ni barabara ipi umetembea 260Mph hapa Tanzania ? Hiyo UK yenyewe huwezi tembea hiyo speed kwenye M9 au M11.

Na uwe umeendesha Buggati usije ukaniambia hilo Benz lako
 
Sio speed ya barabara Bali speed ya gari. Na nimesema sijawahimaliza. Nafikiri hapo tuko sawa
wewe ni mshamba mkuu ndo wale wale wako na vw golf vya cc 1300 spid 260 afu anakwambia sijawah futa kwa akil yako ukitaka futa unaweza??? hata upewe road imenyooka ya km 50 hufik kwa sababu za ki science....naomba specs za hiyo gari....afu usikanushe ulisema hujawah futa 320mph ulifikishaga tu 260mph = 418kph ha ha JF bhna
 
Mkuu BUgatti the fastest inakamua mpaka 520 MPH. Hiyo kitu ingine. Shida sisi huku tumezoea kununua old cars! Na zaidi sana za Japan ambazo ni KPH 180 sanasana itakuwa Na 240. Tembeleeni hats mitandao jamani muone Magari!!

asee huku ndani hamna rika lako hili jukwaa naona halikufai nenda MMU

tambua hamna gari ambayo iko on production na ni stock inafikisha 300mph bado ndo wanahitahd kusogelea hapo
ambapo kina koegnisegg ndo wako 287mph = 457kph na ndo fastest sasa ww hiyo buggati inayofika 520mph= 836kph ni ya wap mkuu mbna unatudanganya hivyo au kuishi mbele ndo unatuona wazawa ni wajinga hujui dunia nw ni kama kijiji ?? tusidanganyane hivo mkuu
 
Hehehe nimecheka kimyakimya sasa tulio Na Mercedes Benz S class convertible speed 320 MPH sio KPH utasemaje? Tangu nirudi Tanzania sijawahi kumaliza sana sana naishia 260mph . kuna siku nilikuwa nakwenda mwanza Na ilikuwa j2 sasa hizi vx Na gx za serikali nilizitesa!! Hako ka crown ulikokaona kanawatisha akina vits
Acha uongo wewe, Katika history hakuna mercedes iliyowahi kutengenezwa ikiwa na speedometer ya hadi 320mph. Max speedometer ever recorded ni 230mph (370kph) na the highest in automobile in history ni 260mph (435kph).
Acha fix, au hiyo imetengenezwa na nyumbu??
 
Mkuu BUgatti the fastest inakamua mpaka 520 MPH. Hiyo kitu ingine. Shida sisi huku tumezoea kununua old cars! Na zaidi sana za Japan ambazo ni KPH 180 sanasana itakuwa Na 240. Tembeleeni hats mitandao jamani muone Magari!!
Haha.

Top speed ya Buggati ni 420 KPH sawa na 261 MPH.

520 MPH ni sawa na 836.859 KPH ambapo hakuna production car dunia hii ishawahi fika. Sawa na speed ya ndege kubwa.

Acha kutudanganya bosi.
 
Siku moja tukiwa na hiyo Crown tulitaka ligi na Voksiwagen tulikuwa tunaenda Arusha ilitupita Mkata wala hatukuwahi kuiona had Ieo

VW na balance wameipa nzuri barabarani ni wewe na uoga wako tu vinginevyo 200 speed kuipata ni kawaida
 
Mi najua tu kuendesha siyajui sana magari ila ni ile iliyofanana umbo kama Niss

Mi najua tu kuendesha suyajui sana magari, kakini ni ile inayofanana na Nissan Murano kwa mbali

hiyo Vw SuV Touarage
 
Unajifariji tu!!
GTI VW speed 260 ndio habari ya mjini!!
Huyo athlete au Royal hawez ifuata iwe tambalale,mlimani au Mteremkoni
mkuu umenena kweli ingawa kuna wabishi kwenye huu uzi watakukatalia hii yaani kuna watu wana chuki na VW hataree
 
Naungana nawe mkuu!Kwa Kuongezea Toyota labda kuanzia SUV
lakini hizi zote Sedan na Hatchback hakuna kitu!
usalama kwa gari nyingine mfano BMw,Volvo,VW,AUDI, ni mkubwa hata iwe Sedan au Hatchback
Mkuu ni kweli yaani vitoyota ka belta, vitz, yaris, isit ni laini mnooo na ndani vina maplastic ambayo ni laini nooo
 
Mkuu BUgatti the fastest inakamua mpaka 520 MPH. Hiyo kitu ingine. Shida sisi huku tumezoea kununua old cars! Na zaidi sana za Japan ambazo ni KPH 180 sanasana itakuwa Na 240. Tembeleeni hats mitandao jamani muone Magari!!
Bro usitudanganye bana sisi sio watoto wadogo kiasi hicho
 
Hehehe nimecheka kimyakimya sasa tulio Na Mercedes Benz S class convertible speed 320 MPH sio KPH utasemaje? Tangu nirudi Tanzania sijawahi kumaliza sana sana naishia 260mph . kuna siku nilikuwa nakwenda mwanza Na ilikuwa j2 sasa hizi vx Na gx za serikali nilizitesa!! Hako ka crown ulikokaona kanawatisha akina vits
Braza nenda jukwaa la Utani/jokes huku hapakufai aisee.
 
Back
Top Bottom