Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

Mbona hamuitaji land rover 109 zenyewe naonaga zinakimbia mpaka zinambeba wa nyuma yake ili zisimuache mbali.
 
Hehehe nimecheka kimyakimya sasa tulio Na Mercedes Benz S class convertible speed 320 MPH sio KPH utasemaje? Tangu nirudi Tanzania sijawahi kumaliza sana sana naishia 260mph . kuna siku nilikuwa nakwenda mwanza Na ilikuwa j2 sasa hizi vx Na gx za serikali nilizitesa!! Hako ka crown ulikokaona kanawatisha akina vits
 
hii migari ya japan wanamix ENGINE's mbalimbali hasa hasa hizi SPORT CARS hazinaga permanent Engine.... yaani gari ikiwa used tu.. ENGINE kwa kias kikubwa utakuta imechezewa au imebadilishwa ndio maana kunatokea mikanganyiko mbalimbali. unaweza kuweka ENGINE yoyote unayoitaka ilimradi ifiti katika Bonnet tu.. kuna jamaa aliifunga Mark x engine ya diesel kama sikosei ya cruiser sema sikumbuki ni cruiser ipi.. yupo DODOMA huko..
 
mzee 3s fe naijua ni kwenye noah na rav 4 masawe
3s ge naijua ni alteza tu kama kuna gari ingine ni modification tu
3s gte ni celica supra na baadhi ya caldina mzee
halafu alteza nimemiliki ya 1g fe na ya 3sge kwaio nafahamu sana hizi mashine

3sge dual vvti beams
(It made 210 PS (154 kW; 207 hp) at 7,600 rpm)
kwa caldina pia ipo kina rav4 corona nk
 
Hehehe nimecheka kimyakimya sasa tulio Na Mercedes Benz S class convertible speed 320 MPH sio KPH utasemaje? Tangu nirudi Tanzania sijawahi kumaliza sana sana naishia 260mph . kuna siku nilikuwa nakwenda mwanza Na ilikuwa j2 sasa hizi vx Na gx za serikali nilizitesa!! Hako ka crown ulikokaona kanawatisha akina vits

asee mzee hiyo kamba naruka !! naaamini na wana JF watairuka we gari gani iliokl bongo inagonga spid hizo hivi unajua hata koenisegg agera haifiki 300mph sa ww ukifikaje 260mph sawa na 418kph road ipi na gari ipi hamna s clacc inagonga hapo
 
Waache wanaojua Magari Mkuu waje au nikuwekee picha?
 
Hehehe nimecheka kimyakimya sasa tulio Na Mercedes Benz S class convertible speed 320 MPH sio KPH utasemaje? Tangu nirudi Tanzania sijawahi kumaliza sana sana naishia 260mph . kuna siku nilikuwa nakwenda mwanza Na ilikuwa j2 sasa hizi vx Na gx za serikali nilizitesa!! Hako ka crown ulikokaona kanawatisha akina vits
Acha kutudanganya mkuu, 320mph hiyo ni bugatti chiron au?
 
Hehehe nimecheka kimyakimya sasa tulio Na Mercedes Benz S class convertible speed 320 MPH sio KPH utasemaje? Tangu nirudi Tanzania sijawahi kumaliza sana sana naishia 260mph . kuna siku nilikuwa nakwenda mwanza Na ilikuwa j2 sasa hizi vx Na gx za serikali nilizitesa!! Hako ka crown ulikokaona kanawatisha akina vits
Utanunuaje Mercedes Benz S Class convertible ?

Bila shaka wewe ni msukuma samahani lakini .

320MPH au KPH ? 260MPH ni barabara ipi ya Tanzania unatembea hiyo speed ?
 
Sio speed ya barabara Bali speed ya gari. Na nimesema sijawahimaliza. Nafikiri hapo tuko sawa
 
Utanunuaje Mercedes Benz S Class convertible ?

Bila shaka wewe ni msukuma samahani lakini .

320MPH au KPH ? 260MPH ni barabara ipi ya Tanzania unatembea hiyo speed ?
Mimi sio msukuma Bali niliishi ujerumani Na UK ndio sababu nilinunua huko hill gari
 
Back
Top Bottom