Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 50,171
- 123,320
"Skiliza mkuu Mungu ni mkuu"sikiliza mkuu Mungu ni mkuu sana kiasi hawajibiki kwako wala kwa yoyote
Wewe na mimi ni viumbe dhaifu sana kiasi tukahoji au kujifanya kumhold accountable
Kwa msin Huo Mungu halazimiki kuthibitisha chochote kwako wala kukushawishi chochote wewe ila kwa faida yako tu
Usijipe umuhimu ukadhani ni lazima Mungu aje akuelezee kwanini anafanya anachofanya
Mjumbe wa nyumba kumi hapo mtaanj kwako hakufanyii hivi seuze Mungu?
So mi na Mungu wote ni wakuu
Swali langu hujajibu
Kwani huu umeumbwa na Mungu mwenye hana sifa za upendo wote, ujuzi wote na uwezo wote?.
Mpaka uwe hivi ulivyo?
