streat Anthem
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 395
- 476
Sijaona swali la kiranga lisilojibika. Kikubwa ni kwamba yeye hajibu maswali ukimuuliza.maana maswali yake hayajibiki na binaadamu waamini.ila kama siku moja Mungu ninayemuamini ataamua kumjibu,atakuja kujieleza mwenyewe.
mfano mkuu ukiulizwa kwanini Mungu ameamua kujificha kabisa!!!hakuna ambaye amewahi kumuona.Sijaona swali la kiranga lisilojibika. Kikubwa ni kwamba yeye hajibu maswali ukimuuliza.
Unapouliza maswali kama haya, basi ukubali majibu ya mtu kwa mujibu wa yule Mungu amjuae yeye na sio kulazimisha kwa mungu umtakae wewe. Wakina Kiranga hawajui jinsi gani ya kuhoji uwepo wa Mungu, na wao huwa tayari kichwani mwao wanafikra zao juu ya Mungu yupi wanafikiri kila mtu anamuamini.mfano mkuu ukiulizwa kwanini Mungu ameamua kujificha kabisa!!!hakuna ambaye amewahi kumuona.
utajibu kwa sababu ni swali,au utajibu jibu sahihi??
Huyo Mungu hawezi kujitetea mwenyewe mpaka wewe ukauke sauti humu !!!Kiukweli wanaojiita hawaamini uwepo wa Mungu hawajui wanachokitafuta.
Na shida ni kwamba wanaowajibu pia hawajui wanachokijibu.
.
Uwepo wa Mungu upo ndani ya Mtu. Na ili Mungu awepo kwako ni lazima utimize mapenzi yake.
Sasa inashangaza anatokea kiumbe anasema " Mungu hayupo" na kwa wakati huo hatimizi mapenzi ya Mungu na wala hajishughulishi kuyajua mapenzi ya Mungu Bali anafuata mapenzi yake mwenyewe.
Halafu wanatokea watu wanaowajibu kuwa Mungu yupo,huku watu hao wakiwa hawayatimizi mapenzi ya Mungu yaani na wenyewe wanafuata mapenzi yao tu!
Mungu anadhihirishwa kwa matendo mema na kuishi vyema. Wote tunaoamini uwepo wa Mungu tungeishi kwa mapenzi ya Mungu hawa wanaojiita Atheists wala hata tusingewasikia.
Tujitahidi jamani kuwasaidie wenzetu kwa matendo yetu mema na upendo ili tuwajibu kwa tunayoyafanya.
Na kizuri zaidi tunajua Cha kufanya yaani tumpende Mungu,tujipende na kuwapenda wote Kama tujipendavyo
Mungu wako anajua wewe utakufa lini ?Unapouliza maswali kama haya, basi ukubali majibu ya mtu kwa mujibu wa yule Mungu amjuae yeye na sio kulazimisha kwa mungu umtakae wewe. Wakina Kiranga hawajui jinsi gani ya kuhoji uwepo wa Mungu, na wao huwa tayari kichwani mwao wanafikra zao juu ya Mungu yupi wanafikiri kila mtu anamuamini.
Mfano, ukitaka kujadiliana na mimi suala la uwepo wa Mungu basi ujue mimi Namuamini Allah, sasa ili upinge uwepo wake, basi tumia imani yangu ya Allah kuuliza swali. Mfano ukija ukanihoji uwepo wa Mungu ikiwa reference yako ni ng'ombe basi ntakwambia kawaulize wanaomuabudu huyo ng'ombe.
Sasa swali kama hilo ulilouliza;
- Mungu wangu hajaamua kujificha. kujificha ni kitendo cha kutaka usionekane na yoyote.
Muncie? au umekusudia Mungu?Mungu wako anajua wewe utakufa lini ?
Kabla ujafa Mungu wako anajua utakufa lini, kabla ujafa je Mungu wako anajua wewe ni wa motoni au wapeponi?Muncie? au umekusudia Mungu?
Kama Mungu ndio Mungu wangu anajua nitakufa lini
Mkuu baki na imani yako na jichimbie zaidi katika kuamini kile ukiaminicho kamwe usimwamini mtu uwe na mizizi kwenye kile unachokiamini la sivyo utayumbishwa sanaKiukweli wanaojiita hawaamini uwepo wa Mungu hawajui wanachokitafuta.
Na shida ni kwamba wanaowajibu pia hawajui wanachokijibu.
.
Uwepo wa Mungu upo ndani ya Mtu. Na ili Mungu awepo kwako ni lazima utimize mapenzi yake.
Sasa inashangaza anatokea kiumbe anasema " Mungu hayupo" na kwa wakati huo hatimizi mapenzi ya Mungu na wala hajishughulishi kuyajua mapenzi ya Mungu Bali anafuata mapenzi yake mwenyewe.
Halafu wanatokea watu wanaowajibu kuwa Mungu yupo,huku watu hao wakiwa hawayatimizi mapenzi ya Mungu yaani na wenyewe wanafuata mapenzi yao tu!
Mungu anadhihirishwa kwa matendo mema na kuishi vyema. Wote tunaoamini uwepo wa Mungu tungeishi kwa mapenzi ya Mungu hawa wanaojiita Atheists wala hata tusingewasikia.
Tujitahidi jamani kuwasaidie wenzetu kwa matendo yetu mema na upendo ili tuwajibu kwa tunayoyafanya.
Na kizuri zaidi tunajua Cha kufanya yaani tumpende Mungu,tujipende na kuwapenda wote Kama tujipendavyo
Ndio Mungu anajua siku ntakayokufa, sababu ya kifo changu, mahala ntakapokufa. Mungu wangu anajua kama mimi ntakwenda peponi au motoni.Kabla ujafa Mungu wako anajua utakufa lini, kabla ujafa je Mungu wako anajua wewe ni wa motoni au wapeponi?
Unajichosha kuswali ili iweje kumbe majibu Mungu wako anayo ?kumbe Mungu wako ndio anaamua wa motoni au wa peponi wala sio matendo yakoNdio Mungu anajua siku ntakayokufa, sababu ya kifo changu, mahala ntakapokufa. Mungu wangu anajua kama mimi ntakwenda peponi au motoni.