Athari za ukame

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092

Ni vema kufuga mifugo michache utakayoweza kuihudumia hata nyakati ngumu za ukame na kiangazi...!!!
 
Iwapo hii ni hapa tz, wenye mifugo wasipate presha.Rais JMK atawapa ng'ombe nyingine.

Sometimes siasa ni kitu cha hovyo mno SHIEKA!!! Umenikumbusha ishu ya wamasi wa Longido nafikiri
 
Last edited by a moderator:
Inanikumbusha home tulikuwa tunasafiri mbali kutafuta marisho ya mifugo mwaka 1998 kulikuwa kuna ukame wa kutisha
 
Angalao kila mwenye nyumba yake asikose kuweka miti japo mitatu kila nyumba ....inasaidia pia...



Iwapo hii ni hapa tz, wenye mifugo wasipate presha.Rais JMK atawapa ng'ombe nyingine.
 
halafu hata mfugaji utakuta anakufa njaa kwa kukosa chakula...badala achinje ale nyama
 
Ni ukame kweli na jua linapiga haswa wameshikwa kiu, huruma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…