Ripoti hii itawafaa hawa wapiga debe kina
Remote na
Nkwesa Makambo.
Manake hawa jamaa wanaanza kazi ya kupiga debe toka saa kumi alfajiri mpaka saa sita usiku.!
Halafu msosi wenyewe kwa mamantilie pale shule ya uhuru!
Wakitoka hapo ni kunywa mapuya na kangara ya bei poa!
Yaani hawa wakimaliza miaka miwili wako hai. Basi ujue wana bahati sana.