OCC Doctors
Senior Member
- Jul 20, 2018
- 114
- 172
Mjamzito ambaye hapati usingizi wa kutosha anaweza kuwa na hatari kubwa ya kupata shida za ujauzito ikiwemo hatua za kifafa cha mimba (Preeclampsia), au shinikizo la damu na ugonjwa wa sukari (Gestational diabetes).
Kiasi cha kulala anachopata wakati wa ujauzito sio tu kinamuathiri mama na mtoto, bali inaweza kuathiri leba na kujifungua pia. Kukosa usingizi kunaweza kusababishwa na njaa, kichefuchefu, wasiwasi, au unyogovu na mabadiliko ya homoni wakati wa ujauzito.