Inategemeana wanatumia mtandao au TV kwa ajili ya nini. Kama mtoto kutwa anashinda mbele ya TV akiangalia Cartoon Network au movie za kina Bruce Lee au Van Damme then of course hapati changamoto yoyote. Lakini kama anaangalia vipindi vinavyofundisha, au anatumia internet kufanya research kuhusu topic yoyote, problem solving games n.k k sioni tatizo. Ukizingatia Bongo shule nyingi hazina maktaba, na hata public library ninayoifahamu Dar ni moja tu, internet ni nzuri sana kupata up to date information, and e-books for free.
Kama mzazi inabidi usimamie matumizi ya TV na internet. Weka ratiba na ukague browsing history ya kompyuta kuhakikisha hawaangalii madudu. Weka block kwenye sites za hatari pia. Tuko kwenye karne ya 21, vitoto vya miaka miwili vinatumia iPad..