Dude ilikuwa ukipanda unalisikia springs zinasuguana kama mkweche, bora waachane nalo, lingeweza kuleta ajali.
Katika hali isiyotarajiwa Shirika la Ndege Tanzania(ATCL) lenye ndege aina ya Boeing 735 lililokuwa linafanya safari kati ya Dar-Mwanza via K'njaro na Dar-Hahaya(Comoro) limesitisha safari zake hivi leo Asubuhi. Habari nilizozipata kwa jamaa yangu aliyekuwa asafili na ndege hiyo leo asubuhi ni kuwa abiria wote wa ATCL waliokata ticket kwenda Mwanza "wamefaulishwa" ktk ndege ya 540.Com aina ya CRJ.
Kwa habari ya chini ya kapeti ni kuwa ATCL imeshindwa kulipa malipo ya kukodi kwa kampuni ya AEROVISTA ilipoikodi Ndege hiyo,kampuni husika imeizuia ndege yake kuruka mpaka hapo itakapolipwa malimbikizo ya madeni yote na ATCL. Hii inatokea siku moja baada ya Wizara ya Uchukuzi kuwasilisha Bajeti yake ktk Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hisa za nini precision? aha mambo ya kuiga iga ww, serikali either waondoke kwny hii industry or wajiandae waanze upya, ni ujinga wa mwisho serikali kushindwa ku-run ndg zake wakati precision wanaweza,tunaelewa precision wanaweza kuwa wanaihujumu ATCL ili serikali inunue hisa..ni wabinafsi tu hawa, govt business entities zitasimama pale tu hawa wapumbavu walio nyuma ya makampuni haya binafsi, precision, vodacom, malori ya mizigo etc watakapoondoka ili hizo hujuma zikome! hadithi ni ile ile km ya TANESCO wanainyonga ili wao walete mitambo wafue umeme watuuzie..yale yale ya TRC wameitelekeza makusudi then wanaleta malori kusubstitute reli..lazima ccm watoke then utaona hata hao precision km wataoperate serikali ikianza upya na ATCL..Omujubi!
Uko sahihi tatizo ni Serikali na haswa huyo Mwakyembe anaota ndoto ya kuwa na National Carrier . Yeye na Dhaifu is another bunch of nicompoops . Kenya hawana national carrier Kenye Airways inayorusha ndege karibu duniani kote ni a Private Company na serikali ya Kenya inazo hisa only 23% .
It's quite simple Serikali inunue hisa PA na kutumia hiyo opportunity. Huwezi kodisha ndege moja halafu ukategemea ikutoe. Tulikuwa na Air Tanzania ikauwawa na Watanzania na hakuna aliyepelekwa Mahakamani but the dream goes on and on.
Wakati Dhaifu anazindua Hanger ya PA alipewa hiyo offer na Shirima lakini akitokea Mwakyembe aka sema dhamira ya kufufua ATC iko pale pale. Nadhani Mwakyembe ni Mkristo na anajua from the bottom of his heartbeat that hakuna kitu kilichowahi kufa kikafufuka ila yasemekana Yesu Kristo alifufuka I can't dispute that kwani wengi wanaamini.
Kufufua ATC under CCM is an impossible mission kwani it's still the same level. Just like watu Fulani wanafikiria kufufua JKT?
Simple solution lets jump at the offer ya PA tununue hisa tusonge mbele! Hizi ngonjera za kuanzisha Chuo cha air hostess is another failed CCM conception.
Katika hali isiyotarajiwa Shirika la Ndege Tanzania(ATCL) lenye ndege aina ya Boeing 735 lililokuwa linafanya safari kati ya Dar-Mwanza via K'njaro na Dar-Hahaya(Comoro) limesitisha safari zake hivi leo Asubuhi. Habari nilizozipata kwa jamaa yangu aliyekuwa asafili na ndege hiyo leo asubuhi ni kuwa abiria wote wa ATCL waliokata ticket kwenda Mwanza "wamefaulishwa" ktk ndege ya 540.Com aina ya CRJ.
Kwa habari ya chini ya kapeti ni kuwa ATCL imeshindwa kulipa malipo ya kukodi kwa kampuni ya AEROVISTA ilipoikodi Ndege hiyo,kampuni husika imeizuia ndege yake kuruka mpaka hapo itakapolipwa malimbikizo ya madeni yote na ATCL. Hii inatokea siku moja baada ya Wizara ya Uchukuzi kuwasilisha Bajeti yake ktk Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
haya sasa...
mashirika yote ya umma yauwawe liwe chaka la wajanja tu kieleweke
By Ngaliba Dume
Katika hali isiyotarajiwa Shirika la Ndege Tanzania(ATCL) lenye ndege aina ya Boeing 735 lililokuwa linafanya safari kati ya Dar-Mwanza via K'njaro na Dar-Hahaya(Comoro) limesitisha safari zake hivi leo Asubuhi. Habari nilizozipata kwa jamaa yangu aliyekuwa asafili na ndege hiyo leo asubuhi ni kuwa abiria wote wa ATCL waliokata ticket kwenda Mwanza "wamefaulishwa" ktk ndege ya 540.Com aina ya CRJ.
Kwa habari ya chini ya kapeti ni kuwa ATCL imeshindwa kulipa malipo ya kukodi kwa kampuni ya AEROVISTA ilipoikodi Ndege hiyo,kampuni husika imeizuia ndege yake kuruka mpaka hapo itakapolipwa malimbikizo ya madeni yote na ATCL. Hii inatokea siku moja baada ya Wizara ya Uchukuzi kuwasilisha Bajeti yake ktk Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
escobar
umeniacha hoi siku naona alinitumia msg kaka mmoja kuniuliza hivi lazima nioe na mimi kaka??
Nikiangalia na hapo juu nasubiri mwongoozo wa kujibu kuptia kifungu cha jf no25 kipengele z/j
Aerovista Hata kama wanajuwa kuwa ATCL haiwezi kulipa hilo Deni sasa unataka wawaachie na hilo Deni? Mkuu Remote Serikali Yetu mbovu haina Uongozi Mzuri tutaweza kweli kuendelea kimaisha? Ni jambo la aibu sana kuwa Tanzania shirika letu la ndege la ATCL hatuna ndege zetu wenyewe ni ujinga wa mwisho tunakodisha ndege basi hata kulipa madeni tunashindwa? Ahh hii nchi yetu imeoza kabisa Mkuu.Hao aerovista hawajui kuwa madai yao HAYATEKELEZEKI
Katika hali isiyotarajiwa Shirika la Ndege Tanzania(ATCL) lenye ndege aina ya Boeing 735 lililokuwa linafanya safari kati ya Dar-Mwanza via K'njaro na Dar-Hahaya(Comoro) limesitisha safari zake hivi leo Asubuhi. Habari nilizozipata kwa jamaa yangu aliyekuwa asafili na ndege hiyo leo asubuhi ni kuwa abiria wote wa ATCL waliokata ticket kwenda Mwanza "wamefaulishwa" ktk ndege ya 540.Com aina ya CRJ.
Kwa habari ya chini ya kapeti ni kuwa ATCL imeshindwa kulipa malipo ya kukodi kwa kampuni ya AEROVISTA ilipoikodi Ndege hiyo,kampuni husika imeizuia ndege yake kuruka mpaka hapo itakapolipwa malimbikizo ya madeni yote na ATCL. Hii inatokea siku moja baada ya Wizara ya Uchukuzi kuwasilisha Bajeti yake ktk Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
propaganda mpwa kaulize tcaa ???unacheza pawpaw whisky??easyjet wameshakamilisha kila kitu....dar to mwanza wanataka iwe 90,000!!lakini bila catering,kama utataka vimiminika basi ununue ndani ya ndege!na pia watachaji bei za mizigo ikizidi uzito(?).......
unakunywa saint ana??pm m plshii wizara ni ngumu kama ile ya madini na nishati kwani matatizo yake ni systemic na tunaweza kuyafananisha na generational curse hivyo hata aje waziri smart namna gani lazima itamshinda. Matatizo yake ni sugu na hivyo yanahitaji ku-clear mikataba na matatizo ya nyuma kabla ya kupambana na ya sasa. Mwakyembe anatibu symptoms badala ya kutafuta cause
hapa paweza kuwa na wazo la msingi.Aerovista Hata kama wanajuwa kuwa ATCL haiwezi kulipa hilo Deni sasa unataka wawaachie na hilo Deni? Mkuu Remote Serikali Yetu mbovu haina Uongozi Mzuri tutaweza kweli kuendelea kimaisha? Ni jambo la aibu sana kuwa Tanzania shirika letu la ndege la ATCL hatuna ndege zetu wenyewe ni ujinga wa mwisho tunakodisha ndege basi hata kulipa madeni tunashindwa? Ahh hii nchi yetu imeoza kabisa Mkuu.