Iko wapi Ndege iliyowazi? Mbona naiona iko angani inapaa? Hizi fitina mnazitoaga wapi? Ina maana wakifukuzwa kazi hiyo nafasi utapewa wewe?Salaam
Jana nilibahatika kupanda Ndege yetu ya fahari ATC TC 103
Cha kusikitisha kungia ndani ya ndege baadhi ya abiria walikua wakilalama baada ya kukuta ndege ina nafasi nying wazi huku wakijua kuna abiria wengi wamekosa tiketi na ima kubaki ima kutafuta Fast Jet/Usafiri mwingine kwa kuambiwa ATI NDEGE IMEJAA
CHONDE chonde
View attachment 512373
Habari yako inakosa uzito ...kweli ila nilizingatia maadili
Hapo sawaUngetujia na ushahidi wa vipicha picha ila kwa hivi ni ngumu kuyasadiki maelezo yako...