Naunga mkono hoja katika hili suala la Kuyapiga risasi hadharani au kuyanyonga hadi kufa hadharani MAJIZI yote ya Mali za UMMA.Air Tanzania iliuliwa kwa kuibiwa.
Ili kuifufuwa na kuwa yenye tija inabidi kila idara itazamwe na ifumwe upya.
Ni hayo hayo kwa mashirika yote ya umma.
Watanzania waliowengi hususan walioajiriwa ni wezi wa kutupwa.
Nnamshauri Magufuli awake sheria za China tu kuhusu wizi na ubadhirifu wa Mali za umma. Watu wawili watatu wakiuliwa wengine watatia akili. Bila hivyo hawa wezi watakuja na mbinu mapya kila siku.
Nampongeza Mbarawa na Magufuli kujitahidi kiaina yao lakini bado zinahitajika sheria kali kabisa.
awake=awekeAir Tanzania iliuliwa kwa kuibiwa.

Ongezea neno sijui huko shuleni alienda kufunzwa nini?awake=aweke
mapya=mpya.
hahahhaaa....natamani anambie kale kamsemo kuwa huko shuleni mlienda kusomea ujinga.Ongezea neno sijui huko shuleni alienda kufunzwa nini?
Naona unataka kusema alienda kufunzwa ujinga lkn unapata wakat mgumuOngezea neno sijui huko shuleni alienda kufunzwa nini?
Hahaaa exactly mkuu...bahati mbaya nae kumbe leo imegundulika alifunzwa ujinga wa kiwango cha kwanzaNaona unataka kusema alienda kufunzwa ujinga lkn unapata wakat mgumu
Tena wezi wengi walikuwa wanaitumia ikulu kama sehemu ya kutafunia futari magufuli hakufanya kosa kuwatimua wale wapishi wa weziAir Tanzania iliuliwa kwa kuibiwa.
Ili kuifufuwa na kuwa yenye tija inabidi kila idara itazamwe na ifumwe upya.
Ni hayo hayo kwa mashirika yote ya umma.
Watanzania waliowengi hususan walioajiriwa ni wezi wa kutupwa.
Nnamshauri Magufuli awake sheria za China tu kuhusu wizi na ubadhirifu wa Mali za umma. Watu wawili watatu wakiuliwa wengine watatia akili. Bila hivyo hawa wezi watakuja na mbinu mapya kila siku.
Nampongeza Mbarawa na Magufuli kujitahidi kiaina yao lakini bado zinahitajika sheria kali kabisa.
Air Tanzania iliuliwa kwa kuibiwa.

Usije ukawa unaongea hivyo kwa kuwa haupo kwenye nafasi!Air Tanzania iliuliwa kwa kuibiwa.
Ili kuifufuwa na kuwa yenye tija inabidi kila idara itazamwe na ifumwe upya.
Ni hayo hayo kwa mashirika yote ya umma.
Watanzania waliowengi hususan walioajiriwa ni wezi wa kutupwa.
Nnamshauri Magufuli awake sheria za China tu kuhusu wizi na ubadhirifu wa Mali za umma. Watu wawili watatu wakiuliwa wengine watatia akili. Bila hivyo hawa wezi watakuja na mbinu mapya kila siku.
Nampongeza Mbarawa na Magufuli kujitahidi kiaina yao lakini bado zinahitajika sheria kali kabisa.
Kuifufuwa=KuifufuaAir Tanzania iliuliwa kwa kuibiwa.
Ili kuifufuwa na kuwa yenye tija inabidi kila idara itazamwe na ifumwe upya.
Ni hayo hayo kwa mashirika yote ya umma.
Watanzania waliowengi hususan walioajiriwa ni wezi wa kutupwa.
Nnamshauri Magufuli awake sheria za China tu kuhusu wizi na ubadhirifu wa Mali za umma. Watu wawili watatu wakiuliwa wengine watatia akili. Bila hivyo hawa wezi watakuja na mbinu mapya kila siku.
Nampongeza Mbarawa na Magufuli kujitahidi kiaina yao lakini bado zinahitajika sheria kali kabisa.
Dada Faiza una hoja. Lakini umeshajiandaa kupambana na wanasheria wa haki za binadamu?.Air Tanzania iliuliwa kwa kuibiwa.
Ili kuifufuwa na kuwa yenye tija inabidi kila idara itazamwe na ifumwe upya.
Ni hayo hayo kwa mashirika yote ya umma.
Watanzania waliowengi hususan walioajiriwa ni wezi wa kutupwa.
Nnamshauri Magufuli awake sheria za China tu kuhusu wizi na ubadhirifu wa Mali za umma. Watu wawili watatu wakiuliwa wengine watatia akili. Bila hivyo hawa wezi watakuja na mbinu mapya kila siku.
Nampongeza Mbarawa na Magufuli kujitahidi kiaina yao lakini bado zinahitajika sheria kali kabisa.
Sijakuelewa.Dada Faiza una hoja. Lakini umeshajiandaa kupambana na wanasheria wa haki za binadamu?.
Siku zote huongea kana kwamba wanachokisimamia kinamwakilisha moja kwa moja Mwenyezi Mungu!.
Tofauti na au tafauti ni shule zetu, yangu ilinifundisha kufikiri, yako ilikufundisha kupokea hata makosa, kusomea ujinga.Kuifufuwa=Kuifufua