Tuache kupanda Kenya airways na Rwanda air ??Shirika la ndege la Tanzania, (ATCL) limeanza Safari yake ya kwanza leo kuelekea Johannesburg nchini Afrika Kusini kwa kutumia ndege yake aina ya Airbus Mkurugenzi wa Shirika hilo, Mhandisi Ladslaus Matindi amesema itakuwa inafanya Safari zake mara nne kwa wiki.
Shirika la ndege la Tanzania, (ATCL) limeanza Safari yake ya kwanza leo kuelekea Johannesburg nchini Afrika Kusini kwa kutumia ndege yake aina ya Airbus Mkurugenzi wa Shirika hilo, Mhandisi Ladslaus Matindi amesema itakuwa inafanya Safari zake mara nne kwa wiki.
Mimi nilizikuta karibia 150 tupukituko unaenda kwenye ndege unakuta seat empty zaidi ya 30 UPUUZI MTUPU
Sii wangesubiri Makonda arudi ili ahamasishe abiria wajae Air bus yetu? Sio kila kitu wasubiri mzee baba awaambie la kufanya kuhusu mwanae, wajiongeze kutumia "hazina" yetu ya kijana mwenye "mafanikio"Timu ya mpira inebuma ndege zimebuma hahaa!!
Nimeseme wazi kuwa Mimi ni mtanzania na ninaipenda chi yangu ila kwa kinachofanyika kwenye shirika hill ni uswahili uliopitiliza.
Kwanza kabisa ni bei zao ziko juu mno wananchi wa kawaida hawawezi kuaford. pili wanahold booking ili bei zipande ndio wazielease. Unafanya booking lets say ya mbeya wiki nzima unaambiwa no seat unawapigia simu wanakujibu siku hizi tunajaza sana then unakosa option unaamua kutumia njia nyingine ya usafiri, asubui unaingia tena kuangalia unakuta wamerelease booking ticket ni 375,000 unaamua kujikaza hivyo hivyo unachukua ticket
kituko unaenda kwenye ndege unakuta seat empty zaidi ya 30 UPUUZI MTUPU
Kama ni kweli basi hawa jamaa ni wapumbavu sana na wanaua shirika.Mimi nilizikuta karibia 150 tupu
Uongo mbaya hili wazo la ndege tumeingizwa choo cha kike tena kichwakichwa.Kama ni kweli basi hawa jamaa ni wapumbavu sana na wanaua shirika.
Nimeseme wazi kuwa Mimi ni mtanzania na ninaipenda chi yangu ila kwa kinachofanyika kwenye shirika hill ni uswahili uliopitiliza.
Kwanza kabisa ni bei zao ziko juu mno wananchi wa kawaida hawawezi kuaford. pili wanahold booking ili bei zipande ndio wazielease. Unafanya booking lets say ya mbeya wiki nzima unaambiwa no seat unawapigia simu wanakujibu siku hizi tunajaza sana then unakosa option unaamua kutumia njia nyingine ya usafiri, asubui unaingia tena kuangalia unakuta wamerelease booking ticket ni 375,000 unaamua kujikaza hivyo hivyo unachukua ticket
kituko unaenda kwenye ndege unakuta seat empty zaidi ya 30 UPUUZI MTUPU
Inabidi ATCL ijiendeshe kiushindani. Mojawapo ya sababu China imeendelea kiviwanda na kuanza kuwa na mshindani mkubwa na nchi zote za magharbi ni bei za bidhaa zao. Ukinunua friji ya GE iliyotengezwa Ohio unalipia mara tatu ya kunua friji kama hilo hilo lilitengezwa China. Watu wakaamua kununua vya China tu, ambapo china ikawa inapata faida kwa kuuza products nyingi. Inabid ATCL pia ifanye hivyo, itafute faida kwa kuuza ticketi nyingi.Nimeseme wazi kuwa Mimi ni mtanzania na ninaipenda chi yangu ila kwa kinachofanyika kwenye shirika hill ni uswahili uliopitiliza.