mpaka atcl wapate leseni naruhusa ya kwenda marekani hilo tatizo litakuwa limetatuliwa, kupata ruhusa ya kupeleka ndege yako marekani ni kazi ndefu, mashirika mengi mfano kenya airways hujiona wamefanikiwa sana pale wanapopata ruhusa ya kwenda marekani, ni juzi tu kenya airways ndio wamepata permit hiyo na inaonekana wameitafuta kwa muda mrefu
Sent using
Jamii Forums mobile app