Kama kuna ukweli basi huo ni ukoma haupaswi kusogelewa!Kwenye habari za Channel 10 ya Saa 1:00 jioni leo tarehe 19/ 04/ 23, kuna habari inayosema ATCL ina mpango wa kushirikiana na Shirika la Ndege la Kenya maarufu kama KQ.
Kama habari hii ni ya kweli, nashauri Watanzania tukemee mipango hii kwa vile uzoefu unaonyesha ushirikiano hauna tija Kama ifuatavyo;
1. Alliance Air ikihusisha SAA na Uganda Airways ilishirikiana na Air Tanzania kwenye 1994 hadi 2002 na matokeo yake tulifilisika vibaya
2. Kenya Airways ilishirikiana na Precision Air kwenye miaka ya 2000, na baada ya hapo Precison ilidhoofu vibaya
3. Kwenye miaka ya 2001 hadi 2006 ATC ikawa washirika wa SAA na tukafa moja kwa moja
Nashauri tukatae ubia wowote na mashirika ya Africa. Labda kama kuna haja tutafute ushirika na mashirika ya Ulaya au Middle EastView attachment 2593219
Kwa taarifa yako Precision wanashirikiana na KQ na hii and imeokoa PWD wasife. Inapaswa ATCL washirikiane na PW .Kwenye habari za Channel 10 ya Saa 1:00 jioni leo tarehe 19/ 04/ 23, kuna habari inayosema ATCL ina mpango wa kushirikiana na Shirika la Ndege la Kenya maarufu kama KQ.
Kama habari hii ni ya kweli, nashauri Watanzania tukemee mipango hii kwa vile uzoefu unaonyesha ushirikiano hauna tija Kama ifuatavyo;
1. Alliance Air ikihusisha SAA na Uganda Airways ilishirikiana na Air Tanzania kwenye 1994 hadi 2002 na matokeo yake tulifilisika vibaya
2. Kenya Airways ilishirikiana na Precision Air kwenye miaka ya 2000, na baada ya hapo Precison ilidhoofu vibaya
3. Kwenye miaka ya 2001 hadi 2006 ATC ikawa washirika wa SAA na tukafa moja kwa moja
Nashauri tukatae ubia wowote na mashirika ya Africa. Labda kama kuna haja tutafute ushirika na mashirika ya Ulaya au Middle EastView attachment 2593219
Kweli kabisa unachosema. Kenya ni jirani anayetuangalia kwa jicho la husda, urafiki wetu ni wa mashaka. Ukisinzia kidogo inakula kwako.Naunga mkono hoja 100% Wakenya ni mbwa sana linapokuja suala la ushirikiano, wana tamaa sn na sio waaminifu, katika nchi ambazo hatutakiwi kuungana nao kwa lolote basi ni Kenya, hata EAC chanzo cha kufa kilitokea Kenya labda serikali ijisahaulishe, nashauri Wakenya tushirikiane nao kwenye chakula pekee tuwe tunapiga pesa kwa kuwapelekea chakula, hiyo ndiyo sekta pekee tunapaswa kushirikiana nao mana kwenye njaa hawana ujanja, ni wavivu kulima na wazembe lkn co sekta zingine. Kwanza unashirikiana vipi na shirika linaloleta hasara kubwa kila mwaka kama KQ? Si uchizi huo?
Kwanza Kenya wenyewe Shirika lao la KQ limewashinda wanataka kuuza hisa zake. Tunatakiwa tuwe makini katika jambo hilo tusiingie kichwa kichwa tutajuta mbeleni.Kwenye habari za Channel 10 ya Saa 1:00 jioni leo tarehe 19/ 04/ 23, kuna habari inayosema ATCL ina mpango wa kushirikiana na Shirika la Ndege la Kenya maarufu kama KQ.
Kama habari hii ni ya kweli, nashauri Watanzania tukemee mipango hii kwa vile uzoefu unaonyesha ushirikiano hauna tija Kama ifuatavyo;
1. Alliance Air ikihusisha SAA na Uganda Airways ilishirikiana na Air Tanzania kwenye 1994 hadi 2002 na matokeo yake tulifilisika vibaya
2. Kenya Airways ilishirikiana na Precision Air kwenye miaka ya 2000, na baada ya hapo Precison ilidhoofu vibaya
3. Kwenye miaka ya 2001 hadi 2006 ATC ikawa washirika wa SAA na tukafa moja kwa moja
Nashauri tukatae ubia wowote na mashirika ya Africa. Labda kama kuna haja tutafute ushirika na mashirika ya Ulaya au Middle EastView attachment 2593219
Jiulize KQ wameweza? Shida huwa tunadharau bila kufatilia taarifa za wengine. Kuna mbinu nyingi zinafanyika ili kulimaliza hili shirika. So sadATCL imeshindwa tayari acha washirikiane na KQ.watanzania tunawaogopa sana wakenya hasa kwenye swala la mambo ya uchumi!
Au hata iuzwe tu kabisaHivi kuna ubaya kama ATCL ikibinafsishwa?
Kwanini sisi ndo tufilisike alafu wao wapete?? Je, tatizo ni watu wetu au mifumo yetu??Kwenye habari za Channel 10 ya Saa 1:00 jioni leo tarehe 19/ 04/ 23, kuna habari inayosema ATCL ina mpango wa kushirikiana na Shirika la Ndege la Kenya maarufu kama KQ.
Kama habari hii ni ya kweli, nashauri Watanzania tukemee mipango hii kwa vile uzoefu unaonyesha ushirikiano hauna tija Kama ifuatavyo;
1. Alliance Air ikihusisha SAA na Uganda Airways ilishirikiana na Air Tanzania kwenye 1994 hadi 2002 na matokeo yake tulifilisika vibaya
2. Kenya Airways ilishirikiana na Precision Air kwenye miaka ya 2000, na baada ya hapo Precison ilidhoofu vibaya
3. Kwenye miaka ya 2001 hadi 2006 ATC ikawa washirika wa SAA na tukafa moja kwa moja
Nashauri tukatae ubia wowote na mashirika ya Africa. Labda kama kuna haja tutafute ushirika na mashirika ya Ulaya au Middle EastView attachment 2593219
Inaonekana hujui kilichotokea EAA (East African Airways) mwaka 1977.ATCL imeshindwa tayari acha washirikiane na KQ.watanzania tunawaogopa sana wakenya hasa kwenye swala la mambo ya uchumi!
Washirikiane na PW yenye ndege 4?Kwa taarifa yako Precision wanashirikiana na KQ na hii and imeokoa PWD wasife. Inapaswa ATCL washirikiane na PW .
Hatuwaogopi bali hatuwataki ni watu wenye dhiki na tamaa pia hawana maadili mema.ATCL imeshindwa tayari acha washirikiane na KQ.watanzania tunawaogopa sana wakenya hasa kwenye swala la mambo ya uchumi!
NdioWashirikiane na PW yenye ndege 4?
Rasilimali (assets) kuu za shirika/kampuni ya ndege ni njia/masafa (traffic rights), sio ndege. Ukiwa na njia zenye biashara nzuri kubwa na business plan ya maana, ni collateral tosha kukopeshwa au kuazimwa ndege ukalipa kadiri unavyopata faida. Ndege bila biashara ya maana ni mzigo tu.Washirikiane na PW yenye ndege 4?