Hpo ndipo anapembua source ya hiyo loss inakotokea na sio loss as such ukitazama sababu mlipwaji ni serikaliBado tu mnapigia debe hizo ndege ilihali zimeleta loss ya zaidi ya billion 100+ toka mzipokee! Hivi huu ushamba mtaacha lini ccm??
Acheni kuchezea kodi za wananchi hivyo mkidhani wanafurahia hizo siasa zenu..
Wananufaika na huu uchafu bado wanatetea snBado tu mnapigia debe hizo ndege ilihali zimeleta loss ya zaidi ya billion 100+ toka mzipokee! Hivi huu ushamba mtaacha lini ccm??
Acheni kuchezea kodi za wananchi hivyo mkidhani wanafurahia hizo siasa zenu..
Wewe ndo umekaririshwabujinga, Zungu ndo amkosoe CAG? Hivi mmekula nini nyie wapiga debe wa marehemu?Hpo ndipo anapembua source ya hiyo loss inakotokea na sio loss as such ukitazama sababu mlipwaji ni serikali...
Hawana aibu wala soni.Wewe ndo umekaririshwabujinga, Zungu ndo amkosoe CAG? Hivi mmekula nini nyie wapiga debe wa marehemu?
Watanunua hata madodoki ya chuma lkn hawatafanikiwaWananufaika na huu uchafu bado wanatetea sn
Tangu walipo wafukuza Fast Jet kwa hila nikajua hawa watu wanaishi maisha ya kuigiza tu na hizo ndege wamezinunua kwa kutafuta sifa yu wala siyo kwa nia ya kufanya biashara.Tatizo wenye maamuzi hawana elimu ya ujasiriamali, ushauri wangu, waangalie nini kifanyike kufanikiwa kwenye zama mpya za upinzani wa kibiashara,kufanya utafiti wakina, nini wapinzani wanafanya kwa mafanikio 'competitive analysis and that internatinal trade should be competitively harmonized'
Wajinga haoWatanunua hata madodoki ya chuma lkn hawatafanikiwa
Zungu ana nini cha kumkosoa CAG?Hpo ndipo anapembua source ya hiyo loss inakotokea na sio loss as such ukitazama sababu mlipwaji ni serikali
Mfano vitabu vya hesabu vinaonyesha shirika lilipata mapato ya jumla ya shilingi bilioni 100 halafu ikalipa serikali parking fee shilingi bilioni 120.Utasema hilo shirika linaendeshwa kwa hasara linakula hela za walipa kodi sababu limepata hasara ya bilioni 20? Wakati hizo bilioni 120 zote zimeenda serikalini ambaye ndie mumiliki asilimia 100 WA SHIRIKA LA NDEGE HIYO HASARA NI YA WASIOJITAMBUA WAHASIBU NA CAG WAO...
Diktetea alikuwa hataki wengine wafanye biashara kabisaTangu walipo wafukuza Fast Jet kwa hila nikajua hawa watu wanaishi maisha ya kuigiza tu na hizo ndege wamezinunua kwa kutafuta sifa yu wala siyo kwa nia ya kufanya biashara.
150 b +Bado tu mnapigia debe hizo ndege ilihali zimeleta loss ya zaidi ya billion 100+ toka mzipokee! Hivi huu ushamba mtaacha lini ccm??
Acheni kuchezea kodi za wananchi hivyo mkidhani wanafurahia hizo siasa zenu..
Wewe ni hasara kwa familia yakoToka bunge hili lianze mbunge ninayeona katoa hoja nzito ni Zungu Kaeleza vizuri sana kuhusu ATCL NA NAMNA YA KUIFANYA IWE NA FAIDA KUBWA
Kasema kabla ya Magufuli Mishahara yote ya wafanyakazi wa ATCL KWA ASILIMIA 100 ilikuwa ikilipwa na serikali sasa hivi serikali inalipa asilimia 17 tu kiasi kilichobaki wanalipa wenyewe
Kashauri serikali kuondoa vitu kama landing fee ,navigation fee na parking fee nk
Msikilize kuanzia dakika ya 4
Nadiyo maana jawakufanikiwa kwenye biashara zaoDiktetea alikuwa hataki wengine wafanye biashara kabisa
Wahindi na waarabu ndio wanaendesha kwa asilimia kubwa uchumi wa nchi hii.Miji mikubwa yote katikati ya miji wajenzi ni hao .Viwanda vyote vikubwa ni hao .Ajira nyingi za viwandani ni wao wanatoa.Mabilionea wakubwa wote Tanzania ni wao wahindi na waarabu.Walipa kodi wakubwa ni wao.Makampuni makubwa ya mafuta na ya usafirishaji nk ni waoHuyu zungu ni mtanzania? na kama ni mtanzania ni ukoo wa nani? wahindi, waarabu na wasomali wanajificha kwenye CCM na huku siyo raia wa Tanzania, utasikia Nondo na ndugu zetu wengine wa Kigoma wanahojiwa uraia badala ya hawa wakimbizi.