ATCL: hakuna bonbadier mbovu

byembalilwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2012
Posts
2,066
Reaction score
951
Kulikuwa na habari za upotishaji dhidi ya kampuni ya ATCL kuwa ndege yake ni mbovu na imepakiwa mwanza jambo ambalo sio kweli.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haikuwa mbovu ni kweli kabisa bali kulikuwa na mushkeli kidogo kwenye engine yake moja iliyopelekea ndege kupaki kwa wiki kadhaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…