unauhakika bombadier itatua kwenye uwanja wa sengereti ?Precision air wana route ya moja kwa moja mpaka mbugani serengeti mara nne kwa week, YES mara nne kwa week.
WADAU is this not the right route for our national airline, ukizingatia nembo yetu ya twiga, lakini wateja lukuki (watalii) wanaoenda serengeti??
HATA HILI MNAMNGOJA MAGU AWAELEKEZE??
HahahahaHahahaha nmekusaidia kuchekawacha nicheke mie
Badala wawe wabunifu watafte route mpya wana angalia za air precisionAisee sasa unataka precisition air anzishe rut za WAP? Au wagawane abiria
Route za ndege hazipatikani kama route za daladalaPrecision air wana route ya moja kwa moja mpaka mbugani serengeti mara nne kwa week, YES mara nne kwa week.
WADAU is this not the right route for our national airline, ukizingatia nembo yetu ya twiga, lakini wateja lukuki (watalii) wanaoenda serengeti??
HATA HILI MNAMNGOJA MAGU AWAELEKEZE??