ATCL almost readyDreamliner.

ATCL almost readyDreamliner.

GwaB

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2014
Posts
5,222
Reaction score
7,075
Yule ndege wetu huyu hapa.
Screenshot-2018-5-23 Twitter.png
 
[emoji123]
Ile trillion 1.5
Yote tisa, Kumi naliona pipa aina ya Airbus A380 likiingia kwenye fleet za ATCL baada ya Dreamliner kuanza kazi. Mafanikio huanza kupangwa kwenye ndoto na inawezekana kabisa kwa Tanzania. Tuanchane na zile tabia zetu za mizaha mizaha tu.
 
Mzee baba we wa CHATO.........!! sikuelewielewi.....Bibi yako anaishije nyumban............. katilion 1.5 ulipata mgao eeeeet mzee baba
 
Rudia kusoma ulichoandika uone kama kina maana yoyote zaidi ya ushabiki tu. Fanya kazi usingoje migao vinginevyo utaishia kulalama tu wengine wakipeta pale ambapo wewe unadhani unaibiwa.
 
Hii ndege imepostiwa sana....tumeshaiona jamani.
 
Back
Top Bottom