Atchoo!...did you know?

BAGAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
4,523
Reaction score
1,060
...its impossible to keep your eyes open while sneezing! try it!...

get us some more ..."did you know"...hata kwa kiswazi...
mlale unono....
 
huwezi kumeza, kama umebinuka kichwa chini miguu juu
 
Mr BAGAH !
Not for sneezin' only ! Also for ejaculation!
Samesame
 
Huwez kulamba kiwiko cha mkono wako mwenyewe
 
Ukibinyabinya sehemu ya kiganja chni ya kidole gumba unapunguza gesi tumbon kama umekutwa na hali ya tumbo kujaa gesi
 
Macho yote huona taswira katika mpinduko ila ile image ikiakisiwa kwenye retina na ikachukuliwa na mishpa ya faham taswira huonekana ipo sawa.Upoo?
 
Pure Mzungu hata afanyeje hawez kufuga nywele ktk style ya afro akalichana likasimama kama waafrika wawezavyo kufanya hvo
 
...its impossible to keep your eyes open while sneezing! try it!...

get us some more ..."did you know"...hata kwa kiswazi...
mlale unono....

hii ishu nilikuwa siifahamu kabisa,nimegain kitu. Thanks a lot
 
Pure Mzungu hata afanyeje hawez kufuga nywele ktk style ya afro akalichana likasimama kama waafrika wawezavyo kufanya hvo

e bana eeeh!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…