cchrispian
Member
- May 9, 2013
- 16
- 5
Naomba wale tuliochaguliwa kujiunga chuo cha Ufundi Arusha (ATC) tufahamiane
Naomba wale tuliochaguliwa kujiunga chuo cha Ufundi Arusha (ATC) tufahamiane
Diploma
Electric Engineering
Unasoma nini mkuu mimi nipo Atc piamim pia nipo
Lipa kwa posta account number 0260000398 hio lipia mahitaji yote kasoro Bima ambayo ni 50400 hio unalipa kwa Nmb akaunti number 40810032308 Account Name Arusha nhif collection account usisite kuuliza Chochote karibu sana Atc mkuuwapendwa hivi mbona nalipa ada alafu wananambia account ya atc inagoma kudeposit mnavolipa mnafanyaje nisaidien mana mda wa admission unaelekea ukingoni
tatizo ni kwamba nilijaribu kilipia mfanyakaz wa bank tpb akasema hiyo account ya chuo inagoma kudeposit nhif silipi mwanafnz anacho kitambulisho toka mda mrefuLipa kwa posta account number 0260000398 hio lipia mahitaji yote kasoro Bima ambayo ni 50400 hio unalipa kwa Nmb akaunti number 40810032308 Account Name Arusha nhif collection account usisite kuuliza Chochote karibu sana Atc mkuu
nilipouliza chuon wanasema nitumie index number ya form four hapo ckuelewa kwakweliLipa kwa posta account number 0260000398 hio lipia mahitaji yote kasoro Bima ambayo ni 50400 hio unalipa kwa Nmb akaunti number 40810032308 Account Name Arusha nhif collection account usisite kuuliza Chochote karibu sana Atc mkuu
Ebu kajaribu leo kama ni continue student means ana admission number ambayo ndo unapaswa uandike ktk pay slipnilipouliza chuon wanasema nitumie index number ya form four hapo ckuelewa kwakweli
NASHUKURU SN KWA USHAURI MKUU ILA NI FIRST YREbu kajaribu leo kama ni continue student means ana admission number ambayo ndo unapaswa uandike ktk pay slip
Kama ni first year aandike jina lake juu na index number Payment account ni hizo na akimaliza afanye online registration bado dirisha liko wazi very soon watafunga, Yuko selected course gani?NASHUKURU SN KWA USHAURI MKUU ILA NI FIRST YR