Habari zenu wanaMMU. Nina mpenzi wangu ambae nnategemea kuwa atakuwa baba watoto ila ana tatizo (mimi naliita tatizo). Ni kwamba yeye ni mfanyakazi wa kampuni moja binafsi,ni kawaida yake huwa anakuja kwangu mara nyingi nampikia chakula. Anaweza akatoka kazini anapitia kwangu anakula then anaenda kwake. Hakuna siku utamsikia anasema dia hela hii hapa kanunue mchele au hata yy mwenyewe kwamba anapokuja abebe walau maji ya uhai, hana muda huo kabisa. Gharama zote nazijua mimi. Tena anaweza kudiriki hata kusema chakula nlichopika ye hakipendi. Sasa nauliza eti huyu mtu majukumu anayajua? Hata tukiingia ndoani c atanitwisha majukumu yote huyu? Au labda nyie wenzangu mnaonaje tabia hii, ni ya kawaida?
^^
Uchumba ni kipindi cha kupendana kwa nia ya kufikia ndoa. Ni wakati wa kujiridhisha kama uliyenae atakufaa baadae, ukiona hafai off you go!
Kwa mfano, unapojiuliza wakati huu kama mwenzako atamudu, hata wewe jiulize utaweza kufanya haya unayofanya?
Tujipime Tuwapimapo na wengine. Vingnevyo tatizo lako linazungumzika. Kaeni mlijadili
^^
Si watu wote ni wakujituma na kujitolea wewe siku mpigie sim mwambie dia pitia dukani/sokoni uninunulie bidhaa hizi Kama ni mtu wa kuelewa ataelewa kuwa chakula hakishushwi kutoka mbiguni na atakumbuka kama kuna kitu alikuwa anakosea .
Sasa we endelea kumuagiza usiache mpaka atajenga mazoea!Asante kwa ushauri. Nilishawahi kujaribu hii ila anafanya siku hiyohiyo uliyomwambia baada ya hapo km kawaida
''wasema chai ina chumvi, chakula hiki kina sisimizi..!
you know i'm crazy over you, crazy, crazy, crazy over you, lakini sasa nachoka, oh no!- usipoacha vituko, kwani mimi nitaondoka!''
talk back to your man, msome kama miezi sita hivi, asipojirudi then chukua hatua!
aanze kukuhonga hata hajatoa mahali hata mimi siwezi ukiniacha
Asante kwa ushauri. Nilishawahi kujaribu hii ila anafanya siku hiyohiyo uliyomwambia baada ya hapo km kawaida