Ataweza kusoma kozi ya computer science

Jeorpa

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
317
160
Huyu anahitaji kusomea Computer Science ila ana F ya Phy & Math
Anaweza kwenda huyu

Kwa mwenye uelewa zaidi asaidie mawazo ila pia wazo Jipya litakua bora pia

Total Mark
C zote exept Math & Phy ni F
 
Sasa MTU amefeli science halafu asomee computer science!!?? Labda ajaribu computer art..
 

Attachments

  • Screenshot_2017-06-01-11-53-41.png
    Screenshot_2017-06-01-11-53-41.png
    215.2 KB · Views: 104
Back
Top Bottom