Atapanda tena daladala au zilikuwa fix tu?

Atapanda tena daladala au zilikuwa fix tu?

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
[h=3]
12115670_657837484353343_3671572780304659447_n.jpg
[/h]
 
Ahahahah!! Mzee kwa umri huo na afya ile ila bado alikuwa anatafuta ajira kwa udi na uvumba hata kwa kufake mambo.

Alafu kijana kaa nymbani utegemee wanasiasa wakutafutie ajira...utadeki bahari.

Kweli ajira inatakiwa kutafutwa kwa ngebe zoote.

Shikamooo ajira!
 
Watanzania ni watu hatar sana usije ukawachukulia unavyojua ww wanaweza kukudhalilisha.

Tanga walifikia mpaka kuzimia, mwanza walideki barabara, mbeya walikesha barabaran. Mpaka mzee wa watu alijua tayar ikulu yangu.

Mpaka mzee kingunge naye alishawishika kuungana na safar ya mabadiliko.

Lakn cha ajabu sku ya mwisho mzee kapigwa ngwara moja mtata sana kaangukia kidevu hahahaa mpaka sasa mzee yupo hoi hana ham na watanzania

anajutia kunywa chai kwa mamantilie, anajutia kupanda daladala
 
Bado angeweza kutembelea daladala,kariakoo,na mahospitali lakini hayo yanawezekana endapo polisi wataondoa hilo zuio.rejea katazo lililotolewa na polisi kufuatia matukio hayo.
 
[h=3]
12115670_657837484353343_3671572780304659447_n.jpg
[/h]

Huyo mzee ni msanii sijawahi ona loh.

Vichekesho vingine yaani yeye anaona kafanya jambo kubwa kupanda daladala, sasa tunataka apige picha akiwa anachunga ng'ombe

alidhani uraisi unapatikana kwa maigizo

Ahahahah!! Mzee kwa umri huo na afya ile ila bado alikuwa anatafuta ajira kwa udi na uvumba hata kwa kufake mambo.

Alafu kijana kaa nymbani utegemee wanasiasa wakutafutie ajira...utadeki bahari.

Kweli ajira inatakiwa kutafutwa kwa ngebe zoote.

Shikamooo ajira!

Hahahahahah shikamoo lowassa, ama kweli uliwashika masikio!

UKISIKIA WATU wanao TUMIA KAMASI KUFIKIRI BASI NI NYIE
 
Back
Top Bottom