Atanifaa au nimpotezee?

Atanifaa au nimpotezee?

Comfucious pedagogy

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
211
Reaction score
39
Kuna manzi nilimwambia hisia zangu toka chuoni mwaka wa pili, akajifanya msimamo sana nikawa mpole tu.

Miezi miwili baadae akawa ananitafuta nikimwomba sex hataki, tukamaliza, tumepata kazi ukanda mmoja na kama kawaida anajisogeza.

Vipi enzi hizo alikuwa na mwingine au?
 
How the hell are we supposed to know?
 
Alikuwa anazingatia masomo kwanza, hakutaka kuchezeana
 
nyerere aliitwa mwalimu kwa sababu

kama umenielewa sawa ila changanua mwenyewe
 
...sasa tukujibu vipi ??! SMFH!!!!
 
Mimi enzi hizo sikuwapo alafu sina upako wa kutabiri hivyo siwezi kukujibu kama alikuwa na MTU.

Kila jambo linawakati wake yeye wakati wake wakuwa na wewe ni sasa . Mpe fursa.
 
kwani kukubalia fasta fasta ndo kusema hakuwa na mwingine?
 
Kuna manzi nilimwambia hisia zangu toka chuoni mwaka wa pili, akajifanya msimamo sana nikawa mpole tu.

Miezi miwili baadae akawa ananitafuta nikimwomba sex hataki, tukamaliza, tumepata kazi ukanda mmoja na kama kawaida anajisogeza.

Vipi enzi hizo alikuwa na mwingine au?

Ww ndie ulikua nae chuo u can tell.also kukataa sex sio kigezo.kwahiyo sema na moyo wako kama unataka au la
 
Kuna manzi nilimwambia hisia zangu toka chuoni mwaka wa pili, akajifanya msimamo sana nikawa mpole tu.

Miezi miwili baadae akawa ananitafuta nikimwomba sex hataki, tukamaliza, tumepata kazi ukanda mmoja na kama kawaida anajisogeza.

Vipi enzi hizo alikuwa na mwingine au?

Mapenzi yako maswali tuulizwe sisi kwanini msiulizane wenyewe?
 
Kuna manzi nilimwambia hisia zangu toka chuoni mwaka wa pili, akajifanya msimamo sana nikawa mpole tu.

Miezi miwili baadae akawa ananitafuta nikimwomba sex hataki, tukamaliza, tumepata kazi ukanda mmoja na kama kawaida anajisogeza.

Vipi enzi hizo alikuwa na mwingine au?

hebu tamka neno "Czechoslovakia..." lets see if you are sober... maana weekend ulivyoianza...!!!
 
Alikua anatembea na class rep...
 
because of what u wrote....i hardly believe u a a graduate....labda kama hicho chuo ni cha veta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom