Kwakweli mimi sijioni kama nimerithi upande upi na sina hakika kama kweli kuna kurithi ndomana nikataka kuelimishwa juu ya hilo
Ata akirithi zote haina tatizo ila kikubwa ni kuzijua izo tabia ili kujua ntaishi nae kwa staili ipi
sasa kumbe jibu unalo kwanini uanze kumuhofia mwenzio, na isitoshe umeshakuwa kwenye mahusiano nae that means umeshamjua, kwahiyo kama unataka kumjaji, basi mjaji kwa zile tabia zake unazoziona sio kuanza kutafuta hii kaitoa kwanini au atakuwa na ya nani
kwanza we kabila gani? pili huyo mpenzi wako umekuwa nae kwa mda gani mpaka ushindwe kuzijua tabia zake eidha za kurithi au za kukulia huko tanga?
jichunguze wewe kwanini haujiamin.....
Kiukweli penzi letu ni changa tu kama miezi minne na hatuna ukalibu sana wa kukutana maana tunazingatia sheria za kidini na kanibadilisha sana maana zamani nilikua sikubali kukaa mbali na mpenzi ila kaniweka kwenye mstari na tunazingatia dini kitu kinachosababisha nisimjue kiundani, kikabila mimi ni mjita kutokea Mara
Ok, ila mkuu kila mwanamke na mwanaume ana tabia zake ziwe mbaya au nzuri ni zake haijalishi kabila wala nini..... hivyo tukija katika ukabila sijaona kama ni main factor ya kuiangalia katika kumjua mtu kiundani.... kinachohitajika ni kutengeneza ukaribu kiasi bila kuharibu sheria zenu za dini... hapo utaweza kumjua kiasi...