Atakubaliwa kujiunga chuo kikuu?

Atakubaliwa kujiunga chuo kikuu?

Joined
Dec 17, 2016
Posts
37
Reaction score
22
Naomba kuuliza et baada ya mtu kumaliza kidato cha sita, na akakaa nyumbani kwa mda kama wa miaka mitano akiomba kujiunga na chuo kikuuu atakubaliwa?
 
Unasoma tu mkuu, hamna tatizo ni pesa yako tu
 
Kusoma chuo kikuu ni haki ya kila mwananchi ilimradi awe na vigezo na sifa stahiki. Umri si tatizo. Mkopo ndio kwa wateule
 
Back
Top Bottom