'Atakua Nacho'

'Atakua Nacho'

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
15940394_10211600980730096_1661041284232969982_n.jpg
 
Hivyo vya kumnunulia nguo mtoto za kukua nazo wala hata sitaki hata kusikia.
Mm mtoto wangu kuna nguo nilimnunulia wakati anamiezi 3 lakini mpaka leo anamiaka 4 lakini bado hazimtoshi.
 
😀😡😡😡😡😡😡😡
 
Atakuwa nazo tu hakuna namna
 
Atakuwa nazo tu hakuna namna
Kuna vitu vingine ni kujiendekeza umaskini unakuta mtu mwingine anamnunulia mtoto wake nguo za kukua nazo na wakati huo anakuta anamtoto.
Mmoja na je wakiwa watatu itakuwaje.
 
kweli kabisa
 
Hadi kubana na vibanioo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
hawa walivaa vya kulaia na walikua wasafi sana

385966614_7bb17e8e14_o.jpg
 
Back
Top Bottom