Atakayefanikiwa kudukua (hacking) simu za iPhone kulipwa Tsh. Bilioni 2

Kitochi ni ngumu kudukuliwa Mkuu....kudua mawasiliano ya sauti ni rahisi...nahisi iPhone wanaongelea kudukua taarifa za kimawasiliano kama vile kuweka virus na kudukua email...lkn maongezi unadukua tu.
maongezi si TCRA tu na IT wao wanamaliza hiyo kazi ndani ya sec 5
 
Back
Top Bottom