Swali hilo litakuwa na mantiki pale tu kama Mzee Pinda alitimiza wajibu wake wa kuhakikisha huyo dogo kaelimika vya kutosha kiasi cha kuukabili mtihani wa fomu foo!!
Muulizwaji hawezi kujibu chochote kwakuwa hasikii swali. Kajishindilia drip za muziki masikioni kiasi cha kutoruhusu masikio kusikia kitu kingine. Wanamzingua tu!