Ukimuua utampendelea. Block blood flow kwa brain yake for about 5 hours ili awe brain dead to a certain degree, halafu muache aishi akiwa anajinyea, kujikojolea na kulishwa maisha yake yote. Make sure anakua brain dead kiasi cha kutambua tu kuwa ni kisasi ila asiweze kuongea, wala kuandika bali kutokwa machozi tu!
Otherwise malizia tu, ukiulizwa na sir God hapo baadae utamwambia si alimleta yeye mwenyewe!
Dok. Kisasi mwachie Mungu,usiruhusu moyo wako kufanya kitu kitakachokufanya ujutie maisha yako yote na kukutesa,alafu proffesional ya kazi yako hairuhusu hilo.
Ungekuwa mwanaume aunayevaa suruali hakika ulikuwa usiulize hapa, ilikuwa ni kufanya maamuzi tu!!!! Sasa ukifanya hivyo na ikatokea amekufa, hii habari hapa JF itakuwaje!!! Ndiyo watakayoitumia kukukamata!!! Jua ndugu au hata majirani wa huyo boss la unga ni member huku!!! Utakamatwa kama bata kama siyo kuku!!
Aise! Kama ni hadithi basi inatisha sana. Nimekuwa interested kujua nini kilitokea baada ya kuachishwa masomo na leo umekuwa daktari tena. Mwache Mungu ahukumu mwenyewe unachoweza kufanya mtibu huyo mgonjwa ila toa taarifa polisi kwamba huyo ndie aliyem,uua rafiki yako ili awekwe chini ya ulinzi. Ila uwe na ushahidi wa kutosha! Kufanya hivyo kutanusuru idadi ya Madaktari watakaoacha masomo na kwenda kuwa punda wa kubeba unga!
Zamani sana tulikuwa na Mwalimu wetu shule ya msingi. Alikuwa akichukuia sana akikuita tu unakula fimbo hata kama ni usoni huku umesimama. Ila akianza tu kuongea hata kama umelala unasubiri bakora ujue umeshasamehewa, ataishia kusema sheeeeeeeeenziiiiiii weeeee toka hapa....Nahisi na wewe mpaka ukaja hapa kuomba ushauri umeshaaamua kutomuua huyo mgonjwa
kumbuka/rejea kiapo chako cha udaktari. Hairuhusiwi kabisa kuua kwa hali yoyote,au umevamia fani.Tena mpe matibabu yafaayo,bila kupunguza au kuongeza chochote kwa kadiri ya uelewa wako.