Lesbooo....
Wabongo bhana!!
. Sijui wanawake mkimbilie wapi?
Akiwa anachekacheka na wanaume mtaanza kumwita malaya.
Akiwa akitulia ohhooo! Kwann hamna bf.
Hakuna sheria inayolazmisha mwanamke kuwa na mwanaume bali ni maamuzi yake awe naye au asiwe naye.
Kilicho kufanya ww uanze kumtolea uzi mtoto wa watu ni nn?...
Achana naye anamipango yake na ratiba zake
Umesema vema hadi nimeshawishika kukutafutia zawadi
Kwani mkuu kuna kosa gani mtu kuamua kuwa single??......mimi naamini ni suala la maamuzi tu.....kama wewe ulivyoamua kutembeza dushe kwa wadada ndivyo na yeye alivyoamua kukitunza kitumbua chake kisiingie mchanga.....CHA MSINGI NI KUWA UKICHUNGUZA YA WATU UTACHELEWA KUFANYA YAKO...........SO MIND YOUR BUSSNESS....
Zawadi gani umeniandalia bby
Uanuhakika gani kua hana boyfriend?
Nawapi kumeandikwa nilazima awe na boyfriend?
Nayeye kutokuwa na Boyfriend kinachokuuma kipi?
Na kwanini unataka ujue sababu kwanini yeye hana boyfriend?
Boyfriend anae ila sio lazima umjue