Ukiona simu zimeandikwa hivyo jua iko locked na mtandao mmoja na huwezi kutumia laini zingine zaidi yao hadi unlock kwa code maalumu.
Ukitaka kununua simu mitandaoni kama ebay, Amazon etc tafuta iliyo unlocked pia be careful na simu za iphone used utaweza uziwa ambayo ipo locked na icloud kwasababu ni ya wizi au mmiliki alipoteza pia impossible kuitoa hiyo icloud hadi mwenye nayo haitoe mwenyewe.

Kuna zingine zimeandikwa unlocked (at&t) hapo inakuaje? Na zile walizoandika sprint je?
Wakuu nataka kununua simu iphone kupitia mtandao wa ebay, lakin naona simu nyingi wameandika at&t, t-mobile, verizon,nk je nini maana hizo mambo? Zinaongeza au kupunguza nini katika simu? Na mnanishauri nini? Zamani nilishawahi kuona simu ya jamaa samsung ikiwaka inaandika t-mobile kitu ambacho ni tofauti samsung nyingine, kwa kile ile kitu sikuipenda kabisa.
Karibuni
Mi nachifahamu kwa sasa simu nyingi zinakupa option ya kurun both unachagua kama unataka cdma au gsm mwenyewe na CDMA hasa inasupport 3g network services na gsm inasupport edge network zaidi. Kwahiyo kwa tz ukiwa mfano na line ya halotel yenye 3g across the country inamaana ni only few areas utashindwa ku communicate. Cdma ni modern technology zaidiDec 5th, 2013
Two basic technologies in mobile phones, CDMA and GSM represent a gap you can't cross. They're the reason you can't use AT&T phones on Verizon's network and vice versa. But what does CDMA vs. GSM really mean for you?
CDMA (Code Division Multiple Access) and GSM (Global System for Mobiles) are shorthand for the two major radio systems used in cell phones. Both acronyms tend to group together a bunch of technologies run by the same entities. In this story, I'll try to explain who uses which technology and what the real differences are.
Which Carries are CDMA? Which are GSM?
In the U.S., Sprint, Verizon and U.S. Cellular use CDMA. AT&T and T-Mobile use GSM.
That means we're mostly a CDMA country. It also means we're not part of the norm, because most of the world is GSM. The global spread of GSM came about because in 1987, Europe mandated the technology by law, and because GSM comes from an industry consortium. What we call CDMA, by and large, is owned by chipmaker Qualcomm. This made it less expensive for third parties to build GSM equipment.
Hio tofauti kutoka pcmagazine.com
Mi nachifahamu kwa sasa simu nyingi zinakupa option ya kurun both unachagua kama unataka cdma au gsm mwenyewe na CDMA hasa inasupport 3g network services na gsm inasupport edge network zaidi. Kwahiyo kwa tz ukiwa mfano na line ya halotel yenye 3g across the country inamaana ni only few areas utashindwa ku communicate. Cdma ni modern technology zaidi
Ila kiufupi kwa africa kutokana na poor 3g network simu yako ya cdma itafanya kazi vizuri mjini tuu