BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
- Thread starter
- #41
Hata sasa bado wanakataa Mkuu hao hao Republicans. Haiwezekani bunduki ziwe zinapatikana kirahisi kama njugu nchi ikawa salama. Wananchi wasipoijia juu serikali na hawa Republicans basi mauaji kama haya yataendelea kutokea sana USA.
democrat wakati wa obama walijaribu kuleta sheria ya kudhibiti matumizi ya silaha lakini republican walikataa nadhani wana la kujifunza