Watetezi watakuja watasema alikuwa mgonjwa wa akili, watasema ana matatizo ya kifamilia vitu kama ivo, hawawezo kumwita gaidi.... wengine watakuja kusema kuwa uchunguzi haujesha kwaio hawawezi kumwita gaidi.Hili ni tukio la UGAIDI sema litapewa jina lingine kwasababu perpetrator sio Muislam.