Prince Naahjum_ Senior Member Joined Jun 13, 2016 Posts 139 Reaction score 125 Aug 22, 2016 #1 Pindi jua lichomokapo asubuhi huchomoka na baraka za watu waliohai. Mimi na wewe ni miongoni mwa watu tuliohai, hivyo hatuna budi kupokea baraka hizo za Mungu na kumshukuru kwa yote atendayo kwetu.....! PRINCE NAAHJUM ALSINA
Pindi jua lichomokapo asubuhi huchomoka na baraka za watu waliohai. Mimi na wewe ni miongoni mwa watu tuliohai, hivyo hatuna budi kupokea baraka hizo za Mungu na kumshukuru kwa yote atendayo kwetu.....! PRINCE NAAHJUM ALSINA
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,888 Reaction score 831,209 Aug 22, 2016 #2 Aaaamen
C ctc database JF-Expert Member Joined Jul 6, 2016 Posts 201 Reaction score 148 Aug 22, 2016 #3 Ameni