Utajua wewe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2024
- 928
- 1,854
Enzi za jf hizi ndio zilikua madaHabari wanajf,
Nilikuwa naomba mrejesho wa walioweza kufanya Astra projection.
Maana mimi nimeweza jana baada ya siku nyingi?
Kwamba hii sio jf tena?Enzi za jf hizi ndio zilikua mada
Tuambie kwanza uzoefu wako,umetumia muda gani mpaka ukaweza,changamoto gani ulikutana nazo,ulipotoka nje ya mwili ulienda wapi?nani alikusaidia.Habari wanajf,
Nilikuwa naomba mrejesho wa walioweza kufanya Astra projection.
Maana mimi nimeweza jana baada ya siku nyingi?
Umeweza.. umeona nini?Habari wanajf,
Nilikuwa naomba mrejesho wa walioweza kufanya Astra projection.
Maana mimi nimeweza jana baada ya siku nyingi?
Kaka maswali mengi ?Tuambie kwanza uzoefu wako,umetumia muda gani mpaka ukaweza,changamoto gani ulikutana nazo,ulipotoka nje ya mwili ulienda wapi?nani alikusaidia.
Faida zake ni nini?Je imani yako inasemaje juu ya jambo hilo
Ahsante.
haya ni matokeo ya muvi😄i wish niweze kucontrol hunitokea mostly nikilala hua najikuta natembea miji ya ajabu nisiowah kuiona
utatapeliiwa epuka matapelielezea bas ilikuaje ukaweza? ulifanikiwa vipi?
Nilichokiona cha kwanza cha ajabu ni mwili wangu ukiwa umelala pale kitandaniU
Umeweza.. umeona nini?
Miongozo ipo hapa jf tafuta uzi za kina Rakimelezea bas ilikuaje ukaweza? ulifanikiwa vipi?
mazingira uliyaona yakiwa kwenye hali gani?Nilichokiona cha kwanza cha ajabu ni mwili wangu ukiwa umelala pale kitandani
wewe wasemautatapeliiwa epuka matapeli
Sasa hayo si mindoto tu ya kawaida hayo jamani!i wish niweze kucontrol hunitokea mostly nikilala hua najikuta natembea miji ya ajabu nisiowah kuiona